Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

Mi-5-tena, Kisha-7.
Maji 'Mtaita' mmaah, Shubamitt. 😎
 
saa zingine ukificha ujinga wako inapendeza zaidi, hivi unafahamu mchango wa crew ya wasafi ktk kufanikisha ccm ishinde (kama kweli ilishinda). Usifananishe WASAFI na hivyo vyombo vingine.
 
Labda ndio kama kawa, linatengezwa tatizo, ili boss apate kick kwa kuja "kulitatua"? Hii inji haiishi vibweka ati!
 
Lazima ujue jukumu la TCRA ni lipi na jukumu la wizara ya habari ni lipi?Then utajua nani soon atavuliwa nguo sipo upande wa WASAFI wala serikali.
 
January haiishi watakuwa hewani.
 
Kuwa uchi ni nini?

Labda tuanzie hapo!
Tcra washaa kwambia alkua uchi,

Maeneo ya mwili yanayostahili kufunikwa na nguo yakiwa tupu huyo yupo uchi kijana.

Ukiona matiti ya mwanamke, mapaja huyo yupo uchi.

Likewise kwa mwanamume.
 
Tcra washaa kwambia alkua uchi,

Maeneo ya mwili yanayostahili kufunikwa na nguo yakiwa tupu huyo yupo uchi kijana.

Ukiona matiti ya mwanamke, mapaja huyo yupo uchi.

Likewise kwa mwanamume.
Tcra siyo mahakama!
 
Kwa akili yako hiyo, Utaharibu watoto wako baadae.!

Uchi ni uchi tu hata baada ya miaka 100 ijayo, kwa tamaduni zetu za kiafrika hatutaki.![emoji20][emoji20]

Tuache kunajisi kizazi cha watoto kwa mambo ya kijinga.
 
Wewe nawe zumbukuku Tu....... diamond alikuwa na kosa gani hapo........haafu nionyeshe huo uchi WA Gigi maana usiongee kama ujashikiwa figo......
 
Kweny futuhi kuna segment inaitwa "wakukurupuka"
 
Wewe nawe zumbukuku Tu....... diamond alikuwa na kosa gani hapo........haafu nionyeshe huo uchi WA Gigi maana usiongee kama ujashikiwa figo......
We inaonesha hujui madhara kubadirish utamaduni hasa huu wa kigen uliombaya.

Ukivaa utumbo unachora mpaka maungo huoni kama nao ni kuwa tupu??

Huwa unajisikiaje ukiwa na watoto wa miaka 7 mpaka 16 unacheki tv unakuta msanii anatokea amevaa kimin au nguo iliyobana inachora maungo yato??

Ukiona huwa unajihis fresh tu basi wewe ubongo wako bado mdogo kiroho na kimwili.!
 
Wewe nawe zumbukuku Tu....... diamond alikuwa na kosa gani hapo........haafu nionyeshe huo uchi WA Gigi maana usiongee kama ujashikiwa figo......
Diamond kama mkurugenzi inatakiwa aweke mfumo mzuri kwa watendaji wake kwamba vipande vya hovyo viwe vinaeditiwa.!

Kuna siku msanin atavua chupi avae kichwan bado watu wa kamera watachukua na kurusha kwa watanzania. Hapo mmiliki pia anamakosa yake kijana.!
 
Waziri wa Sanaa, vijana, utamaduni na michezo Bashungwa amesema wanaangalia namna ya kushughulikia swala la Wasafi tv kufungiwa miezi sita kufuatia kituo hicho cha habari kujutia na kuomba radhi
 
Unajua Mtanivuruga Hapa Sasa Hivi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kukampenia Kwa siku zaidi ya 50 si kitu kidogo!

Kuna mtu alitaka kulisahau Hilo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…