Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

Bashungwa awe makini kukwepa lawama na kuchafuka, ni mtego huo. Ili awe smart apitie upya faeli zote za vyombo vya habari vilivyopigwa ban na utawala huu wa imla.
 
Kichwani mwako zimetimia?
 
Kwahiyo walivyofungiwa Kwanza TV, Mwananchi, Tanzania Daima, Mwanahalisi, Clouds TV na wengine Wao pia hawakustahili Misamaha yenu hii?
Ukiangalia kwa lakini media nyingine hizo ziliwahi kufungiwa kwa muktadha wa kisasa na si wa kimaadili.. Kimaadili is revesable but wa kisiasa ni other issue hasa kwa African countries
 
Hivi wenye DSTV mbona tunaona matako yakina BEYONCE na case TCRA ila skin dress ya GIGY money ndo ilete case kwenye tv station.WE ARE FOOLISH NIGGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…