Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Haijalishi kuwepo au kuto kuwepo kwa mawasiliano mazuri, swali la msingi ni JE, NI JUKUMU LA MHANDISI KUITA WATU WAJE KWENYE UZINDUZI WA BARABARA? Je hili sio jukumu la DC, DAS, wenyeviti wa vijiji, watendaji kata et al?Duh, kazi hizi ngumu sana, ingefaa huyu mtendaji wa TARURA afanye mawasiliano ya kutosha nini na nini atahitaji waziri kabla ya kufika site. Nadhani hakukuwa na mawasiliano mazuri kabla
Hiyo barabara nasubiri giza liingie nikaiibe naipeleka namtumbo halafu nasema ACT ndio wametengeneza, nahisi jafo anaogopa uwizi wangu maana ni wa kiwango cha lamiKwani hao wananchi hawaoni jamani hizo barabara? Sasa barabara utaifichaje? Halafu meneja kazi yake ni kuhakikisha kazi imefanyika kwa kiwango. Siyo kukusanya wananchi. Hii serikali ya sifa, hii...! Ngoja nikazane na biashara zangu tu.
Namini nakuja kuwahujumu kwa kuiiba hiyo road.Nyie manyumbu naona humu mnapayuka tu...hapo jukumu la huyo meneja na mkurugenzi ilikuwa ni washirikiane watangaze ratiba ya ujio wa waziri...hayo ya kujaza uwanja mngewaachia wananchi wenyewe kwani siku hizi wanajua wenyewe nini cha kufanya muda ukitaradadi.
Mkurugenzi au meneja katuhujumu.
Nashangaaga wanaomsifia Jafo yani katika mawaziri vimeo jamaa yupooo...!! Ana misifaa sanaa. Alafu huyu engineer hakutakiwa hata Kuomba msamahaaa maana hana kosaaa.. Kuita watu waje kwenye mkutano huo ni jukumu la wateuliwa wa kisiasaa...wakurugenzi na wengineoo sio msomi kama huyu aanze kufanya upuuzi huo.Watu wengi tulimheshimu Jafo lakini kwa hili la jana, mh amejipaka matope yanayonuka.
Kuna harufu ya visasi kwenye maamuzi yake hayo.
Mungu amhurumie Jafo[emoji120]
Halaf anafikiri Arusha ni Kisarawe, foolish JafoHuku ni kulewa madaraka kwa Jafo,kwani bila wananchi barabara haizinduliwi? Watu waache kazi waende kuzindua road?
Too sad hii awamu ya kishetani kabisaJambo limezua jambo?
uipeleke wapi...tunakuloga ukojoe mkojo wa kijani mpaka uiludishe hiyo road yetu.Namini nakuja kuwahujumu kwa kuiiba hiyo road.
Naiiba kabla wanachi hawajajua kama imejengwa na serikali maana kwa mujibu wa jafo anajua wananchi wanafahamu hiyo road imejengwa na chama cha hashim rungweuipeleke wapi...tunakuloga ukojoe mkojo wa kijani mpaka uiludishe hiyo road yetu.
Kigoma ina nini jamani? Buhigwe, Kakonko dah, kumbe hata kwenye ndoto ya kuendelezwa hatumo? Machikini weee
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea.
Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio barabara yao? Kama ni barabara ya Wananchi mbona Wananchi hawapo hapa? Au unataka Serikali ionekane haijafanya kitu katika maeneo yao?”
Waziri Jafo amemuhoji Meneja huyo ambaye pia ndio Mratibu wa barabara za Jijini humo “Kwanini hii tunazindua barabara hii Wananchi hawapo? Unataka Rais aonekane hajafanya kitu? Rais ameweka fedha hapa. Mmeficha halafu kesho na kesho kutwa mseme Rais hajafanya kitu?”
Aidha, Meneja huyo alipoanza kujitetea na kusema kuwa alidhani Mtendaji (Mkurugenzi) amefanyia kazi suala hilo, Waziri Jafo alimwambia “Wewe si barabara zako? Unafanya sabotage ili Rais aonekane hajafanya kitu halafu kesho Wananchi waseme hakuna lolote Rais amefanya?”
Waziri Jafo amemalizia “Ninyi ndio wataalamu mnaofanga Serikali ionekane haijafanya jambo wakati sisi hapa Arusha tumewekeza fedha nyingi. Mji wa Arusha tumetandaza Barabara ila wewe unaficha hata Wananchi hapa jirani wasijue tumeweka barabara”

Akili huna kabisa weweJaffo aondolewe kwa kosa gani? kosa ni la huyo meneja kushindwa kualika watu, hata kwenye harusi watu wasipohudhuria makosa ni ya waandaaji, sio wenye harusi.