Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

'Confused government'.....eti huyu Jafo ndo wanasema ni presidential material duh ameshindwa kumdhibiti Magufuri kwa hilo, sasa anae aibika niyeye.....
Jafo yuko vizur ila ni muoga anamuogopa boss wake kwamba anaweza kumuangusha mda wowote
 
CUF gani unayoiongelea kama hii ya LIPUMBAVU basi ww ni MPUMBAFU wa kiwango cha lami!!
 
CUF gani unayoiongelea kama hii ya LIPUMBAVU basi ww ni MPUMBAFU wa kiwango cha lami!!
Hiyo CUF umeitoa wapi! Sioni popote nilipoandika kuhusu CUF au ninaota ndoto.
Hata hivyo asante kwa kunitukana.
 
Jafo yuko vizur ila ni muoga anamuogopa boss wake kwamba anaweza kumuangusha mda wowote
Sasa huyu hawezi kua Raisi kwa uoga huo hapo ndo angeonyesha kipaji chake cha uraisi nadhani angepata sapoti, kwa watanzania na wangemtathimini sana.....ila tu niwale wale wakina Nape Majaliwa Mwingulu January nk. Kua presidential material lazime uwe extra ordinary sio huyu na wezie
 
Waziri Jafo kwa makusudi anajifanya hajui kuwa vyama ndivyo vinavyoshiriki na si wagombea binafsi. Hao wagombea wasioshiriki na vyama atawaweka kwa kigezo gani! Hili ni tatizo la kuamini kuwa polisi watasimamia uchaguzi na kauli za polisi zisizoisha kuhusu uchaguzi.
 
Jafo ni mtendaji mzuri mno anapokuwa mazingira huru.
 
Mkienda kanisani mnasikika mkisema "niombeeni"!
 
Akiwaruhusu kugombea wakati vyama vimejitoa, watakuwa wamedhaminiwa na nani? Wagombea binafsi? Sheria ya kuruhusu wagombea binafsi imeanza lini Tanzania? Ajichanganye tu?
 
Hao wagombea wote watadhaminiwa na CCM au? Maana kama vyama vyao vimejitoa ni kwamba hawana dhamana, sasa watakuwaje wagombea?

Au ni kweli ukiwa kiongozi wa chama fulani lazima utumie akili za ziada?
 
Jafo ameingia cha kiume amebaki anapepereka baada ya wapinzani kumpiga chenga ya mwili
 
Kwa akili zako wewe zilivyo vya mkia wa mbuzi, kwasababu ya kununulia chips mayai na boyfriend wa mama yako s moja utafurahi, kumsaidia na kumtetea boyfriend wa mama yako akimpiga mama yako kwa ile chips mayai uliyonunuliwa siku moja
Hii lazima Ni bangi tu, mara nyingi bangi hii hupatikana sehemu zenye baridi.
 
Kama vyama vimejitoa sasa hao watashiriki kama wagombea binafsi au sheria inasemaje.dah Hii nchi utabiri wa baba wa taifa ni kama unaenda kutimizwa.
 
Unajitutumua kuongea vitu ambavyo sio vya msingi na kutaka ukubalike. Kweli nyie ni mahayawani. Umeongea nini sasa hapo? Utumbo mtupu. Pole sana.
 
Watawapitishwa tu wachache watakaoona kwao wanafaa,hata kama hana hata kura moja kwenye sanduku,atapishwa tu ili kujaribu kudanganya umma kwamba wapo na waupinzani waliopita. Na tutegemee lidubwasha kama hilo kwenye uchaguzi wa ubunge na udiwani 2020
Kwa hiyo baadaye uchaguzi utabidi urudiwe kwa sababu mpinzani huyo hatakuwa na chama kinachomdhamini!
 
Kapoteza Dira,hajui afanye nini zaidi ya kuja mbele ya kamera na kujimwamba fai, "uchaguzi upo wagombea walioenguliwa majina yao yamerudishwa " Jaffo ulifaa uachie ofisi za Umma tangu siku ya kwanza tu.
 
Hivi ile kanuni ya ukitenguliwa uanachama automatically na nyazifa zako zimetenguliwa katika chama huwa hazifanyi kazi kwa viongozi WA serikali za mtaa????



Sasa kama chama hakishiriki kishajitoa na hatuna mfumo WA mgombea binafsi, huko kusema kuwa wagombea wanaendelea kuwepo ni kunauni ipi hiyo inasimamiwa hapoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…