Kelvin Richard
Senior Member
- Jul 26, 2017
- 123
- 87
Jafo yuko vizur ila ni muoga anamuogopa boss wake kwamba anaweza kumuangusha mda wowote'Confused government'.....eti huyu Jafo ndo wanasema ni presidential material duh ameshindwa kumdhibiti Magufuri kwa hilo, sasa anae aibika niyeye.....