Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Lkn katika sheria na kanuni hakuna kipengele kinachosema chama kinaweza kujitoa kwenye uchaguzi, bali mgombea anaweza kujitoa.
Loh! Mbona kutapatapa kama kuku anayetaka kutaga? Bila shaka wameshikwa pabaya.
Wakisema ni shida akili ndogo kuongoza akili kubwa panatokea mabishano.
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Huyo mgombea kama hana dhamana ya chama je ni mgombea halali? au kuna private candidates siku hizi?
 
Tatizo wee mbwa unafikir kwa kutumia matako uchochoro uajua mwaka huu vijana wa lumumba mtazaa huku mnatembea chukueni ss huo ushindi wa mezani ulitaka Hilo tamko watolee mkunduni kwako? Km huna hoja kakojoe ukalale
 
Hakuna ubane hapo,kama wewe ungefanya nini?kwa sabab majina yavwapinzsni yanakatwa live mbowe hakutaka shida na mtu akakubali yaishe.kosa la mbowe hapo nini?watanzania tuna nini kakini?
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee

Mbowe ametumia ubabe
 
Ndugu karatasi zilisha bandikwa vituoni nawalio katwa wamekatea kweli hivyo anaposema warudi kwa hiyo majina yatachapishwa upya,sasa sijui utaratibu upi ungetumika?
 
Hizo nitaratibu zako wewe mbowe yupo sahihi,kabisa ila kwa sababu udogo wetu wa akili hata kwenye rafu sisi tunatetea haki ya mungu tutachomwa moto sisi acha tu.
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…