kanankembe
Member
- Nov 4, 2019
- 85
- 50
Loh! Mbona kutapatapa kama kuku anayetaka kutaga? Bila shaka wameshikwa pabaya.Lkn katika sheria na kanuni hakuna kipengele kinachosema chama kinaweza kujitoa kwenye uchaguzi, bali mgombea anaweza kujitoa.
Wakisema ni shida akili ndogo kuongoza akili kubwa panatokea mabishano.