Huo ndo upeo wa akili yako
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Kama chama hakikugombea mbona wagombea wameenguliwa kwa makosa ya kuandika jina LA chama kwa kifupi?Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
mbna walipokosea form hawakuandikiwa barua za kuenguliwa?yaan hiz ndo akili kijiko,unafikiria umbal wa pua yako tuBasi waandike barua ya kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wahusika yaani hao wasimamizi wa uchaguzi au msajili wa vya siasa,wakiainisha mambo ambayo hawakuridhishwa nayo katika mchakato mzima wa uchaguzi,hapo huenda msajili akakaa nao meza moja kujua nini kifanyike,kumbuka baada ya kugomea uchaguzi wanaweza kuchukuliwa hatua kali za kisheria,lakini pia wanaweza kupata mwanga wa chaguzi zijazo zitakavyosimamiwa,wasitangaze tu kwenye vyombo vya habari kisha wakaa kimya.hali itakuwa mbaya sana mwakani,yule dada wanamwita mange kimambi aliwahi kusema kuna uwezekano kusiwe na mbunge hata mmoja wa upinzani bunge la awamu inayofuata.dalili zimeanza kuonekana mapema kwenye huu uchaguzi, tunaelekea kubaya sio siri.
Wanaahangaika sana kwa ajili ya matumbo yao waache tuHaya matumbo yanadhalilisha watu aisee
Mlikataa mgombea binafsi,Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Je kuna utaratibu rasimi wa kuengua wagombea??Kuna taratibu rasmi za kujitoa.
lakini unajua kabisa kuwa hatuna mgombea huru asiyetokana na chama, hivyo wogombea wote wanadhaminiwa na chama hivyo kama chama kimejitoa moja kwa moja na huyo mgombea anakosa sifa. Yaani hata ukivuliwa uanachama pia unakosa sifaJafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Jafo nilikuwa namwamini sana yaan kuanzia leo kanitoka
Chama unaiepuka vp? Ukikosa udhamini wa chama unakosa sifa za kugombea. Hatuna wagombea binafsi.Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Hii mbona.. mbona... ndio inawakost..sasa mimi na wewe hapo nani kafikiria umbali wa pua yake,mngekuwa mnajitambua kwa hivi vitu vidogo hata chama tawala kingekuwa kinashindwa namna ya kuburuza upinzani,haya mambo mbona wao wamefanya hivi...vile.... yanaonyesha hamjielewi,na ndio mnakandamizwa hapo,sasa subiri lungu la msajili,atawatafutia sababu halafu anawachinjia baharini mazima.ngoja tuone.mbna walipokosea form hawakuandikiwa barua za kuenguliwa?yaan hiz ndo akili kijiko,unafikiria umbal wa pua yako tu
Amepaniki maskini
Kuna jamaa anakuuliza suala la wanafunzi wanaopata mimba wewe unafuata chama au kauli ya Jiwe? Maana wanapingana.Huu uchaguzi anatafutwa atakayewafaa wananchi wote sio wanachadema tu!!! Kama hawafai nyie wengine wanamtaka
Wasiliana na wahusika wanaoratibu mchakato wa Uchanguzi wa serikali za mitaa.Zipi? Zitaje
Wapeni uanachama ccm wagombee wawili kenge wewe .... Kama haujui kwamba chama ndio kina mdhamini mgombea bora kende zako tuzifanywe ngogwe ....Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Kumbuka wengine wamekata rufaa...!!!Taratibu zipi mzee wakati wagombea hawakupitishwa?
Sasa kama alisomea mapishi him economics unatakaje labdaJafo ana upeo mdogo sana wa kufikiri na kuamua. Kwa sasa naamini angekuwa anatumia utashi wake vilivyo angejiuzulu
Aibu na dhamira mbaya aliyokuwa nayo tokea awali ndivyo vinavyomtesa Waziri Jafo mpaka analazimisha kuwabandika wagombea wachache wa upinzani ili kuficha aibu zao.Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?