johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hakuna rangi CCM mtaacha ona mwaka huu!!! Ndo mnaanza kukumbuka shuka asubuhi sio??? Watanzania hawadanganyiki kamwe!!!Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
CCM wapuuzi sana, yani wamekaa kisanii sanii kwa ujumla ni wezi tuuWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Nccr Mageuzi tunaunga mkono mambo kama haya. Sio kupingapinga tu kila kitu.Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Upinzani ni silaha muhimu . Bila chadema msingetangaza hizo ajira.Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Hamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe KisaraweWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Wawarudishe na mishahara ya miezi miwili waliyochukua ya walio tia Nia kugombea ccm. Hali sio shwari msijidanganyeHamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe Kisarawe
hatudanganyiki !Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Kwenda wapi? π πππ€£πππHamkujua kama Uchaguzi Utakuwa mgumu hivi babeki, hadi na Mishahara ataongeza alidhani Uchaguzi ni Safari ya kwenda kwa cheupe Kisarawe
Kitabu Cha mahudhurio kazini kinaondokaje ofisini kinakwenda kwenye mikutano ya siasa?Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ni sawa na takrima.Usanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!
Wewe umeajiriwa?!hatudanganyiki !