Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hakuna tajiri anaweza kuajiriwa na serikali duniWewe umeajiriwa?!
Hakuna tajiri anaweza kuajiriwa na serikali duniWewe umeajiriwa?!
Wenye nia ya dhati kuajiri angeajiri hata kabla ya uchaguzi, anataka awaajiri alafu awatumbue kuwa hawana vigezo, mnamkataza Rungwe asitumie kauli ya kugawa ubwabwa wakati nyie kwenye majukwaa yenu mnatoa kauli za Rushwa. Poor ccm
Au ujira wa Desderia unakutosheleza!Hakuna tajiri anaweza kuajiriwa na serikali duni
Kwanza hii ni rushwa ya wazi wazi na imekatazwa. Hata kufanya uzinduzi wa kipumbavu hautakiwi. Hata kama ni utendaji wa kawaida wa serikali kwa nini ufanyikie kwenye kampeni? Hapa mizania sawa itapimiwa wapi kwa wagombea wasio na nguvu ya kiserikari ya kuajiri.Usanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!
Ama kweli usanii huu ni wa wazi waziWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Baada ya miaka 5 serikali inatoa ajira 13000 tu duuuh!!Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
hiki ndicho kilichowafanya watangaze ajiraWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Nakazia hapaUsanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!
Kuteleza kwa cheupe Kisarawe😀Kwenda wapi? 😅😄😆🤣😂😁😀
Nani anaapologize?Too late to apologize
Comrade unaongea na mimi au unaongea na simu?Nani anaapologize?
Bwashee wewe tuma maombi kabla dirisha halijafungwa!Hilo tangazo limetolewa wapi mbona halipo kwenye official website ya tamisemi?
Shukrani nyingi kwa serikali ya awamu ya tano.Shukrani nyingi zaidi kwa mfumo wa vyama vingi na kampeni zinazoendelea.Faida ya kuwa vyama vingi na kushindanisha sera.Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Watanzania sio wa pumbavu kiasi hiyo watume maombi afu muwachague makada wenye kadi za sisiemu wanao tuma namba za uanachama wa sisiemu kupitia wenye viti wa mtaa kwenda wizara husika ? ,kama mnalengo LA kuajiri watanzania chukueni majina mliyo nayo wizarani muwapangie vituo kulingana na mwaka mwlm alio sota mtaani mbali na hapo bado wembe ni niuleule lazima ile kwenu SSM msitufanye watz wajinga kiasi hichoWaziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!