mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Chadema inahusikaje hapo. Ajira za walimu wa sayansi zinatangazwa mara kwa mara, janga lipo upande wa waalimu wa masomo ya sanaa nafasi za kazi zimekuwa adimu , walimu wa sanaa wamejaa mashuleniBwahaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu ninaposikia chama chakavu kinacheza ngoma ya cdm. Hapo utasikia wiki ijayo ccm inaagiza wananchi wote kuwa na bima ya afya kuanzia tarehe 15 septemba. Lisu kamata hapo hapo, chama la wazee limeshatepeta.
Swali walikua wapi kuajir mpaka wasubir kampeni?Chadema inahusikaje hapo. Ajira za walimu wa sayansi zinatangazwa mara kwa mara, janga lipo upande wa waalimu wa masomo ya sanaa nafasi za kazi zimekuwa adimu , walimu wa sanaa wamejaa mashuleni
hujui kituAu ujira wa Desderia unakutosheleza!
Ajira tena mpaka 2024Usanii mtupu!Zinatafutwa kura tu hapo na hoja za kuwajibu wapinzani kuhusu ajira.
Hata mikitangaza kuongeza mishahara wakati wowote kuanzia sasa pasipo Bunge kupitisha,tutawapiga chini tu.
Hatudanganyiki!
Walijua Lissu hawezi kurejea tena
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!
Lisu yupi?Lissu kiboko yenu amewashushia rungu mmeshituka. Mlikuwa mnambeza sasa amekuwa mwiba mchungu kwenu.
Bwahaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu ninaposikia chama chakavu kinacheza ngoma ya cdm. Hapo utasikia wiki ijayo ccm inaagiza wananchi wote kuwa na bima ya afya kuanzia tarehe 15 septemba. Lisu kamata hapo hapo, chama la wazee limeshatepeta.
Hizi ni chache miongoni mwa faida lukuki za upinzani wa kweli,sii upinzani kuunga mkono juhudi za m.kiti.Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo.
Hii ni neema kwa mliosomea ualimu.
Maendeleo hayana vyama!