Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

Waziri Jafo hao waliokudanganya issue ya Wachina Kariakoo nani, na wamechukuliwa hatua gani?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa

Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina

Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na vibali. Akalaumu kikosi alichokiamini kufwatilia matatizo ya Kariakoo kwa kumdaganya yale waliiokubaliana

Mh. Jafo

Swali moja

Issue sio kuja tena mwezi ujao kuhakiki, issue waliokudanganya ni kina nani?, Wamepewa adhabu gani?

Na hao immigration mnewafanya nini kuruhusu wachina wafanye kazi bila kibali? Wahusika wamepewa adhabu gani?

Na kama ni walewale unategemea kuendelea kuhakiki kukupa tena mrejesho wa kazi?

Swali mwezi ujao ukikuta wachina wapo na hawana vibali

Utalaumu nani?
 
Hatari sana katika utekelezaji
 
Wachina kwa kuhonga hawanaga mpinzani, hapo Taasisi zote muhimu wamerambishwa asali...
 


Tumepewa Fursa na Waziri wa Vianda Dr. Suleiman Jafo Kukusanya Taarifa kwa Haraka Oparation Kubwa inaendelea. Naomba hii Fomu Ijazwe kwa Haraka ukishindwa nitumie Details Inbox
 


Tumepewa Fursa na Waziri wa Vianda Dr. Suleiman Jafo Kukusanya Taarifa kwa Haraka Oparation Kubwa inaendelea. Naomba hii Fomu Ijazwe kwa Haraka ukishindwa nitumie Details Inbox
 
Back
Top Bottom