Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa
Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu walioteuliwa kuhakikisha kazi za wazawa hazifanywi na wachina
Na wanaouza jumla kwa wazawa wawe na vibali. Akalaumu kikosi alichokiamini kufwatilia matatizo ya Kariakoo kwa kumdaganya yale waliiokubaliana
Mh. Jafo
Swali moja
Issue sio kuja tena mwezi ujao kuhakiki, issue waliokudanganya ni kina nani?, Wamepewa adhabu gani?
Na hao immigration mnewafanya nini kuruhusu wachina wafanye kazi bila kibali? Wahusika wamepewa adhabu gani?
Na kama ni walewale unategemea kuendelea kuhakiki kukupa tena mrejesho wa kazi?
Swali mwezi ujao ukikuta wachina wapo na hawana vibali
Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo inakusanya kanzidata ya taarifa za Wachina wenye biashara za madukaTafadhali jaza kwa uaminifu. Majibu yako yatabaki siri. Hakuna atakayejua umehusika na wala hatukusanyi taarifa binafsi za yeyote atakayejaza.
forms.gle
Tumepewa Fursa na Waziri wa Vianda Dr. Suleiman Jafo Kukusanya Taarifa kwa Haraka Oparation Kubwa inaendelea. Naomba hii Fomu Ijazwe kwa Haraka ukishindwa nitumie Details Inbox