Waziri Jafo,kumbuka hawa watu wasaka tonge tu

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,508
Reaction score
5,981
Hivi, Jafo anadhani watu kujizima data ba kutafuta maisha nchi za watu,wanakuwa wameacha mazuri kwao? Tanzania ni nchi kubwa,tajiri ukanda huu,na bado ina fursa kwa watu wengi.
Wasaka tonge wanapokuja,si wanaofaidika ni wakazi wa maeneo wanayofanyia shughuli zao!?

Sijawahi kusikia nchi duniani iliyoweza kudhibiti wahamiaji haramu.

Je, kama tynakubaliana nchi zinazoizunguuka Tanzania wananchi wana maisha magumu, na siyo wote wanaweza kuhamia,basi kwa nini usiwekwe utaratibu kwa kundi la hawa watu, kama ni malipo, lakini waweze kulegezewa kamba na kujitafutia chakula na wao! Kama mkulima, mazao anauza nchini, au bidhaa nyingine ananunua kama wengine. Hivyo, asipokuwa tu mharifu, kuna ubaya?
 
Attachments

  • 20250729_141141.jpg
    20250729_141141.jpg
    129.4 KB · Views: 26
Hivi, Jafo anadhani watu kujizima data ba kutafuta maisha nchi za watu,wanakuwa wameacha mazuri kwao? Tanzania ni nchi kubwa,tajiri ukanda huu,na bado ina fursa kwa watu wengi.
Wasaka tonge wanapokuja,si wanaofaidika ni wakazi wa maeneo wanayofanyia shughuli zao!?

Sijawahi kusikia nchi duniani iliyoweza kudhibiti wahamiaji haramu.

Je, kama tynakubaliana nchi zinazoizunguuka Tanzania wananchi wana maisha magumu, na siyo wote wanaweza kuhamia,basi kwa nini usiwekwe utaratibu kwa kundi la hawa watu, kama ni malipo, lakini waweze kulegezewa kamba na kujitafutia chakula na wao! Kama mkulima, mazao anauza nchini, au bidhaa nyingine ananunua kama wengine. Hivyo, asipokuwa tu mharifu, kuna ubaya?
Mkuu, tunahitaji wageni watakaofanya kazi/biashara mpya na angalau kubwa zaidi ya wenyeji. kufanya shughuli ile ile inayofanywa na wenyeji ni upotevu wa rasilimali na mwisho italeta migongano na migogoro isiyo takiwa. Wageni waje na kitu kipya pia wazingatie taratibu na sheria za nchi. Vipi na wewe ni mhamiaji haramu?
 
Dunia hii kina nchi isiyokuwa na wahamiaji hao? Na ukiona watu wanakimbilia kwako,ni kwa sababu kuna fursa ambazo hutumii,na fursa hizo wakizitumia mnanufaika wote. Je, unadhani Tanzania haina wahamiaji haramu nchi jirani? Kwani hata akiwa mkulima, kama amelima heka au na zaidi,ambayo wazawa hawakulima hapo nyuma, wakuja hao wakilima,anafaidi nani hasa? Je, wazawa wakipata kazi kwenye shughuli ya mtu huyo, nchi haina faida?

Mi kama chance ipo kuzamia lazima mjomba.
Je, makubaliano ya EAC sasa ya nini kama badhi ya viongozi hawawezi kuyatekeleza?
 
Back
Top Bottom