Hao wake anaenda nao kazini !?
Mwinyi alikuwa na wawili, Bilali wawili, Marehemu Masaburi alikuwa ana watano. Edward Sokoine zaidi ya watano !
Shida yako ni nini hasaa !?
tatizo ni huyo aliyefúkunyua.....mnene hata sisi tulikiwa hatujuiWacheni umbea wa kike ,mambo ya familia ndoa zake zinatuhusu nini!? Hongera Jafo Upo vizuri na maelekezo break RC,DC.
Fasihi ilikushinda...Umefeli vibaya sana...Hao wake anaenda nao kazini !?
Mwinyi alikuwa na wawili, Bilali wawili, Marehemu Masaburi alikuwa ana watano. Edward Sokoine zaidi ya watano !
Shida yako ni nini hasaa !?
Wanajulikana sema ni public secretLakini hata mjomba inasemekana anae mmoja mwenye anajulikana, na pia wawili wasio julikana......
Ebu ngoja kwanza niishie hapa
Kama ni mkuki, basi umechoma mjomba hadi kwenye mfupa....[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Wanajulikana sema ni public secret
Kumbe ni mtihani !?Fasihi ilikushinda...Umefeli vibaya sana...
Jafo kasifiwa sana leo na hakuna popote ambapo magu alionyesha kutoridhishwa na tendaji wa jafo. Habari ya jafo kuwa na wake wanne si jambo ajabu kwa waislamu!jaffo ndio bye bye subiri wiki utasikia
Fasihi ilikushinda...Umefeli vibaya sana..
Sio mtihani.. ameongea kwa fumbo.. kwamba waliosifiwa wote.. wametenguliwa.. na huyu kasifiwa.. Kifuatacho niiiiiKumbe ni mtihani !?