Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,588
Nilivoelewa mimi ni kama aliteuliwa Waziri lakini badala ya kufanya kazi ameishia kuoa hadi kufikisha wake wanne...
Pia hizo sifa za kufanya kazi vizuri alizopewa ni kama za kinafiki - Jafo ndo amekuwa akiwabana Wakuu wa Mikoa na Wilaya vipenzi wa Rais kama Bashite, Jerry Muro na kile kitoto uso wa mbuzi - Ali Happy ...
Muhongo aliposifiwa sana haikupita muda akatumbuliwa..
Hivyo hivyo Tizeba..
Hivyo hivyo Mwijage a.k.a Mzee wa Sound..
Hivyo hivyo Mwigulu..
Hivyo hivyo yule aliyebomoa Club ya Mbowe akiamini itamwokoa na kutumbuliwa, Nehemia Mchechu
Sasa Mh.Jafo, akili za kuambiwa changanya na zako!