Waziri Jafo na ndoa ya wake wanne - hii kitaalam imekaaje Mwalimu Kashasha?

Waziri Jafo na ndoa ya wake wanne - hii kitaalam imekaaje Mwalimu Kashasha?

Tang Zhou

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
1,206
Reaction score
2,588
Nilivoelewa mimi ni kama aliteuliwa Waziri lakini badala ya kufanya kazi ameishia kuoa hadi kufikisha wake wanne...

Pia hizo sifa za kufanya kazi vizuri alizopewa ni kama za kinafiki - Jafo ndo amekuwa akiwabana Wakuu wa Mikoa na Wilaya vipenzi wa Rais kama Bashite, Jerry Muro na kile kitoto uso wa mbuzi - Ali Happy ...

Muhongo aliposifiwa sana haikupita muda akatumbuliwa..

Hivyo hivyo Tizeba..

Hivyo hivyo Mwijage a.k.a Mzee wa Sound..

Hivyo hivyo Mwigulu..

Hivyo hivyo yule aliyebomoa Club ya Mbowe akiamini itamwokoa na kutumbuliwa, Nehemia Mchechu

Sasa Mh.Jafo, akili za kuambiwa changanya na zako!
 
Hao wake anaenda nao kazini !?
Mwinyi alikuwa na wawili, Bilali wawili, Marehemu Masaburi alikuwa ana watano. Edward Sokoine zaidi ya watano !
Shida yako ni nini hasaa !?
Ebo, kwani shida ya aliyewataja ni nini?
 
Some people have extraganza ativita. Easy money na time.

Hao wake anaenda nao kazini !?
Mwinyi alikuwa na wawili, Bilali wawili, Marehemu Masaburi alikuwa ana watano. Edward Sokoine zaidi ya watano !
Shida yako ni nini hasaa !?
 
Wacheni umbea wa kike ,mambo ya familia ndoa zake zinatuhusu nini!? Hongera Jafo Upo vizuri na maelekezo break RC,DC.
tatizo ni huyo aliyefúkunyua.....mnene hata sisi tulikiwa hatujui
 
picha zao please ili tumshauri abaki na yupi, wake wanne kuwapa huduma ya kutosha na ukabaki unachapa kazi 100% ni vigumu
 
Back
Top Bottom