Waziri Jafo na ndoa ya wake wanne - hii kitaalam imekaaje Mwalimu Kashasha?

Hilo swala la wake wanne atakuwa amelitamka kwa sababu za wivu/kinyongo tu.

Sioni kama kulikuwa na ulazima kulitaja.
Kwa Masaburi pia alilitaja, na alimuelekeza Mkurugenzi wa Musoma aoe dada zake Mwita Waitara kadhaa ndipo atamuheshimu. Si mara yake ya kwanza kuongelea subject kama hiyo
 
Kwa miswaki ya nimechoka, sijisikii, naumwa na Sababu lukuki tunazopewa na hawa wake zetu wa miaka hii, Hongera zake Mheshimiwa halali na njaa. Anauhakika huyu anazingua anaenda mlango wa pili anakamua akitoka hapo performance 100%
 
Direct proportional to 4*4 vimadas[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hii siyo sifa nzuri sana ukiwa na boss mpenda shari[emoji135]tusubiri tu.
 
Maisha ya mtu binafsi tuweke pembeni tuangalie tu utendaji kazi . 'visionary leader"
 
Kwa Masaburi pia alilitaja, na alimuelekeza Mkurugenzi wa Musoma aoe dada zake Mwita Waitara kadhaa ndipo atamuheshimu. Si mara yake ya kwanza kuongelea subject kama hiyo
Pia aliwahi mwambia JK aongeze sababu wanaruhusiwa
 
Binafsi namkubali sana Sele Jaffo,anapiga sana kazi na hanaga makuzi wala show off yeye na kazi tu....uzuri kazi zake anazofanya zinajiuza.
 
Mzee alihofia maana jimboni kwa jafo ndo yupo bi mdogo mtokomeza zero mashuleni
 
Mwambie akuoe na wewe pia muwe watano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…