Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
...mtoto wa nzi ni nzi tuu !Sio mtihani.. ameongea kwa fumbo.. kwamba waliosifiwa wote.. wametenguliwa.. na huyu kasifiwa.. Kifuatacho niiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...mtoto wa nzi ni nzi tuu !Sio mtihani.. ameongea kwa fumbo.. kwamba waliosifiwa wote.. wametenguliwa.. na huyu kasifiwa.. Kifuatacho niiiii
Kwa Masaburi pia alilitaja, na alimuelekeza Mkurugenzi wa Musoma aoe dada zake Mwita Waitara kadhaa ndipo atamuheshimu. Si mara yake ya kwanza kuongelea subject kama hiyoHilo swala la wake wanne atakuwa amelitamka kwa sababu za wivu/kinyongo tu.
Sioni kama kulikuwa na ulazima kulitaja.
Pia aliwahi mwambia JK aongeze sababu wanaruhusiwaKwa Masaburi pia alilitaja, na alimuelekeza Mkurugenzi wa Musoma aoe dada zake Mwita Waitara kadhaa ndipo atamuheshimu. Si mara yake ya kwanza kuongelea subject kama hiyo
Ahahaaa kumbeKila nikiona issue za Jafo, nakumbuka tu kwenye uchaguzi, eti KINGWENDU ndie aliyekuwa anakabiliana naye kwenye uchaguzi wa ubunge 2015
Mwambie akuoe na wewe pia muwe watanoNilivoelewa mimi ni kama aliteuliwa Waziri lakini badala ya kufanya kazi ameishia kuoa hadi kufikisha wake wanne...
Pia hizo sifa za kufanya kazi vizuri alizopewa ni kama za kinafiki - Jafo ndo amekuwa akiwabana Wakuu wa Mikoa na Wilaya vipenzi wa Rais kama Bashite, Jerry Muro na kile kitoto uso wa mbuzi - Ali Happy ...
Muhongo aliposifiwa sana haikupita muda akatumbuliwa..
Hivyo hivyo Tizeba..
Hivyo hivyo Mwijage a.k.a Mzee wa Sound..
Hivyo hivyo Mwigulu..
Hivyo hivyo yule aliyebomoa Club ya Mbowe akiamini itamwokoa na kutumbuliwa, Nehemia Mchechu
Sasa Mh.Jafo, akili za kuambiwa changanya na zako!