Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
..mwanakwerekwe.
"Upumbavu wa chuki za kijinga"Nilijua huna hoja zaidi ya huu upumbavu wa chuki za kijinga..
Hujanibu.
Mchepuko wa makamba acha makasiriko wewe.Jibu ni kwamba hakuna awamu umeme ulikuwa haukatiki katika nchi hii, Hata wewe unajua sema chuki zenu za kipumbavu mnaleta kwenye mambo muhimu ya kitaifa.
"Upumbavu wa chuki za kijinga"
Huo ndio upumbavu wako.
Ukweli kwamba wewe ni mchepuko wa makamba au!?Ukweli unauma.. pole sana..! Najua imepenya hiyo.
Mchepuko wa makamba acha makasiriko wewe.
Ni kija nayo wapi kwenu au?Ukija na hoja hiyo na mimi nitapata Conclusion kwamba wewe ni either MCHEPUKO WA KALEMANI au ni Ex wa MAKAMBA umeamua kuja kumsagia sumu hapa..
Ukweli kwamba wewe ni mchepuko wa makamba au!?
Ni kija nayo wapi kwenu au?
Makamba keshakiri umeme haukukatika wewe mchepuko unakataa nini!?Pole sana.
unajua mtu anaweza kuropoka siri bila kujua!! tulimpa miaka sita then ..........??? tukamuondoa ???January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.
Pamoja na maelezo mengine, Makamba alitoa takwimu za TRA zinazoonyesha kipindi cha urais wa Samia suluhu na yeye akiwa waziri, makusanyo yamepanda, na kueleza hii inatokana na kuwa wao hawawakatii wenye viwanda umeme na kuwaambia wanyamaze ndio maana uzalishaji umepanda.
Makamba aliongeza pia matatizo ya kukatika kwa umeme yametokana na legacy, ambapo kipindi kilichopita repair and maintainance ilikuwa haifanywi ipasavyo, na akamaliza kwa kusema kama waziri aliyepita alipewa miaka 4, basi na yeye apewe miaka 4 waone kama hali ya kukatika itakuwepo na kama Magufuli walimpa miaka 6 basi na Samia wampe miaka 6 waone kama haya matatizo yatakuwepo
Makamba keshakiri umeme haukukatika wewe mchepuko unakataa nini!?
Ndio nilikoRudi Kolomije..!
SUKUMAPHOBIARudi Kolomije..!
Ndio niliko
SUKUMAPHOBIA
Kama analijua hilo kwa nini yeye anatupia mzigo wa lawama awamu iliyopita na Waziri aliyemtangulia? Tulidhani yeye amespecialize kwenye Conflict Resolution angekuja na jawabu la uhakika la "tatizo sugu la umeme" na si kutupia mzigo wa lawama wasiokuwepo.Muda hatumpi,aonyeshe '"umahili wake uliotukuka" katika kutatua hili tatizo.Vinginevyo akubali kuwa yeye kwa ile Wizara ni maji marefu kwake,aachie wenye uwezo washike Wizara hiyo.Acheni kelele.. Hii wizara ina changamoto nyingi na hazijaanza leo wala jana.
Too early kumjudge vibaya Makamba aliyepewa wizara muda mfupi uliopita.
Nasisitiza ni mapema mno apewe muda zaidi..
kwa hiyo kutabulate figures ndiyo kutatua tatizo la umeme? Hatuhitaji mbwembwe za makaratasi tunahitaji umeme wa uhakika,Period.Waziri Makamba yuko sahihi 100%. Bahati mbaya hatokei kambi ileeee inayomong'onyoka kila uchwao. Ame tabulate figures, facts walizoficha kina Kalemane kwa style ile ya kuambiwa ni fedha za ndani kumbe ni mikopo tuuu! JNHP imechelewa kwa siku zaidi ya 470 lakini Kalemani alisema maji yangeanza kujazwa Nov 2021. Ukweli ndio dawa ya kupona. Asante MakambabJnr. Piga kazi.
Kama analijua hilo kwa nini yeye anatupia mzigo wa lawama awamu iliyopita na Waziri aliyemtangulia? Tulidhani yeye amespecialize kwenye Conflict Resolution angekuja na jawabu la uhakika la "tatizo sugu la umeme" na si kutupia mzigo wa lawama wasiokuwepo.Muda hatumpi,aonyeshe '"umahili wake uliotukuka" katika kutatua hili tatizo.Vinginevyo akubali kuwa yeye kwa ile Wizara ni maji marefu kwake,aachie wenye uwezo washike Wizara hiyo.