Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Ukimsikiliza Msukuma vizuri utaona nia yake haikuwa kupata ufafanuzi wa zile shutuma kwa nia njema laah bali ilikuwa ni kutaka kumshambulia Waziri na kuutangazia umma kwamba hafai kuongoza hiyo Wizara.

Lakini Waziri Makamba kafafanua vizuri mno, mwenye akili atamuelewa - huwezi kuvuta umeme umbali wa km 1.5 bila substations - umeme utafika ukiwa hafifu. Tanesco walifanya kazi kwa mashinikizo ya kisiasa utaalaam ukawekwa kando nguvu zikawa nyingi.

Makamba upo sahihi, hawa waandika Legacy achana nao washakwama.
Si bora hao waliovuta angalau ukafika ukiwa hafifu?

Nafikri hao waliovuta ukafika kila kona wanaakili sana hata kama uko hafifu, maana kuweka substations ni kitu rahisi zaidi kuliko kupeleka huko mitaani kwa watu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hawa wasenge Jana wameikosesha utamu ya Yanga na Biashara kwa dakika 60.Hapo nilishatembea kutafuta Banda lenye generator,nimefika napo mafuta yalishaisha.Yaa TANESCO is a nail in the ASS.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Hiyo miti inayokatwa kwa kuzaalisha mkaa na kupikia kuni huion?
Na ile ya mbao vipi?
Huyo january kama angekuwa anapenda mazingira si angepunguza bei ya gesi watu
waache kupikia kuni na mkaa, au angahakikisha watu wanapikia umeme.
Hopeless!!!!
 
Hii nchi ni ngumu kusonga, uzuri nje ya haya malalamiko tutamkumbuka Mzee Warioba na timu yake kama watu waliona ubovu wa katiba iliyopo na umuhimu wa katiba mpya.

Naamini uchaguzi wa 2019 na wa 2020 ungelikuwa huru na haki upuuzi mwingi usingelikuwepo sasa ila cha kuchekesha wanaolalamika sasa ni waliochekea wizi wa uchaguzi, na hilo liwe funzo kuanzia sasa. Waacheni wale urefu wa kamba zao, misita tena
KATIBA INAHUSIKAJE NA UKATIKAJI AU UCHAKAVU WA MITAMBO YA UMEME??
 
Hata kina Lisu na wabunge wengine walivyokuwa wanabwabwaja kwa kutoa tuhuma lukuki kule bungeni ulishawahi kuongea kama hivi?..

Hivi hapo ulipo unafikiri anakomolewa Magufuli?

Wanaokomolewa ni bibi, babu, baba na mama zako kule kijijini!

Endelea kumtetea Makamba alafu baadae utakuja hapa kualalama juu ya umeme!

Tanzania hii ni masikini sababu ya upumbavu wa raia

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile a
Majibu ya makamba ni ishara tosha kwamba awamu ya tano walifanya kazi ya umeme bila kufuata vigezo vya kisayansi.
 
Kama uzalishaji umepanda mfumko wa bei unatoka wapi? The market is controlled by demand and suplly. Kama kuna uzalishaji mwingi basi supply ni kubwa hivyo bei inakuwa ndogo.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Usisahau POPULATION, miundombinu nk hufanya watu wengi kuhitaji huduma hivyo mfumuko wa bei huwezi kuukwepa. Samahani una elimu gani??
 
Ukimsikiliza Msukuma vizuri utaona nia yake haikuwa kupata ufafanuzi wa zile shutuma kwa nia njema laah bali ilikuwa ni kutaka kumshambulia Waziri na kuutangazia umma kwamba hafai kuongoza hiyo Wizara.

Lakini Waziri Makamba kafafanua vizuri mno, mwenye akili atamuelewa - huwezi kuvuta umeme umbali wa km 1.5 bila substations - umeme utafika ukiwa hafifu. Tanesco walifanya kazi kwa mashinikizo ya kisiasa utaalaam ukawekwa kando nguvu zikawa nyingi.

Makamba upo sahihi, hawa waandika Legacy achana nao washakwama.
Waziri kuulizwa maswali unataka aulizwe huku anabembelezwa? Mbona hivyohivyo huulizwa kwa waziri wa maji, waziri wa afya, waziri wa elimu?
Unataka wambembeleze makamba ili iweje?
Na Kama wanaona hafai kuongoza wizara ni haki yao, hata kalemani alipigwa maswali hivyohivyo na alionekama hafai ndio maana akatolewa.
Kwa nini kwa makamba uone kama anaonewa?
Watu wanachotaka ni umeme, ikiwa hayo mashinikizk yalifanya wakapata umeme wa uhakika basi ni bora waendelee na hayo mashinikizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Makamba ana mipasho khaah. Kumekuchaaaaaaah.
Acha inyeshe tujue panapovuja, uwiiiiih
 
Majibu ya makamba ni ishara tosha kwamba awamu ya tano walifanya kazi ya umeme bila kufuata vigezo vya kisayansi.
Umeme ni kitu ambacho hakidanganyi, ukileta ujanja kinakuumbua.
Ikiwa hawakufuata hiyo sayansi,wala hata kusingekua na cha kuficha, nchi nzima ingekua giza.
Kamati ya nishati Jana walisema, waliomba wizara iwape hiyo RM schedule ya hiyo miaka mitano nyuma ili waone kama haikufaanyika. Ila hadi sasa hawajapata
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Kichwa panzi wewe!!

Wewe mwezi wa kwanza unakaujinga kichwani, ni bora unyamaze ili ufanyeuliyokusudia

Jinga sana weww
 
Ns swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.
Eti km una chuki na mimi au mama Samia.
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
Hivi **** swali limeulizwa? Limeulizwa na nani?

Tumesikia tu mjinga Musukuma akilalamika. Kuna yeyote aliuliza swali?
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Makamba mwenye alikiri kwamba "UMEME ZAMANI ULIKUWA HAUKATIKI MARA KWA MARA SABABU KULIKUWA HAMNA SCHEDULE MAINTENANCE........".

Sasa Magufuli alidanganya nini wakati mwenyewe kakiri kwa kinywa chake, zamani umeme ulikuwa haukatiki.......
 
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.

Pamoja na maelezo mengine, Makamba alitoa takwimu za TRA zinazoonyesha kipindi cha urais wa Samia suluhu na yeye akiwa waziri, makusanyo yamepanda, na kueleza hii inatokana na kuwa wao hawawakatii wenye viwanda umeme na kuwaambia wanyamaze ndio maana uzalishaji umepanda.

Makamba aliongeza pia matatizo ya kukatika kwa umeme yametokana na legacy, ambapo kipindi kilichopita repair and maintainance ilikuwa haifanywi ipasavyo, na akamaliza kwa kusema kama waziri aliyepita alipewa miaka 4, basi na yeye apewe miaka 4 waone kama hali ya kukatika itakuwepo na kama Magufuli walimpa miaka 6 basi na Samia wampe miaka 6 waone kama haya matatizo yatakuwepo

Toka Makamba amekuwa waziri wa nishati kila siku amekuwa akiongea wazi wazi kwamba awamu ya Magufuli iliharibu miundo ya nishati na leo kaongea wazi kwamba hata nyaya za kusafirishia umeme siyo sahihi yaani ni za low capacities kwa njia husika,,,,Mwinuka aliyekuwa mbobezi kwenye energy, Kalemani na Magufuli wote hao wasomi kweli wangefanya anayotuaminisha January? Hii ni kazi inafanyika ya kumchafua Magufuli na waliokuwa watendaji wake. Samia ana kampeni ya kuharibu legacy ya Magu ndiyo maana kuna porojo nyingi mara crane na sasa nyaya ,,kiufupi wanasafisha njia ya kuleta upigaji au kusitisha kabisa huo mradi kwani mabeberu hawapendi nchi za afrika ziwe na reliable energy
 
Alinilishanagaza San eti watumiaji wakubwa wanapigwa mkwara Hilo lilikuwa dongo kwa kalemani
 
Unamaanisha kipindi cha Kalemani uzalishaji wa umeme ulitosha kwa mahitaji ya nchi nzima?
Au unamaanisha wakati wa Kalemani umeme ulikuwa haukatiki?
Kwa hiyo Makamba ndiye anayekukatia wewe umeme?

Back
Top Bottom