Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

nimesikiliza mwanzo hadi mwisho, na wengine sikilizeni vizuri mwanzo hadi mwisho kisha linganisha kile alichoandika mleta mada. Hapo tu ndo utaelewa akili zetu hazina akili, ikiwemo wewe uliyeleta hii mada.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Hivi mnafikiri watu wote wamejaza vinyesi kichwani kama nyie?

Kama Magufuli akikuwa anaongopa ili umeme usikatika kwa miaka yote sita basi tunautaka tena huo uongo wake.

Watu wanaongelea kukatika hovyo kwa umeme alafu nyie vitakataka na vichawa vya makamba mnakuja na hoja za mazingira?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Je, uwaziri wa Makamba unahusika vipi na kukatika umeme?
Mkuu tambua kuwa yeye ndiye waziri mwenye dhamana katika wizara hiyo, hivyo ndiye anaewajibika iwe kwa mazuri au mapungufu ya wizara yake! Ndiyo maana huwa wanatenguliwa japo makosa yamefanywa na watendaji wake.
 
kuna kundi moja ndani ya CCM linaumia Makama kuwa Waziri wa Nishati, Msukuma ni mjumbe tu - katumwa.
Alafu hapo ulipo ukiwa kwenye kundi lenu la bavicha unajitahidi kwa juhudi zote kutanua matamvua zako kulaumu ccm kwamba haileti maendeleo, ila wakitokea watu kujaribu kuwachalenji mawaziri unasema ni chuki!

Nchi hii kuna watu mmelaaniwa aisee

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ana katabia kakupenda kurushia lawama wengine, especially Magufuli admin.

Ukimsikiliza unaona kabisa vitu alivyoongea ni concerns alizozikuta TANESCO maana ni technical issues so it has nothing to with his wit or his cherry picked management ability to trouble shoot what is wrong with TANESCO anazitumia tu hizo sababu kukwepa lawama.

Uwezo wa akili ya timu yake ni kununua services India kwa $30m lakini sio kudeal na issue za umeme moja kwa moja.

Tatizo linarudi palepale ukisikiliza hoja za waziri issue ni incompetent management.

Kwa mujibu wake shirika linahitaji modernisation and upgrade ya infrastructure ili lisambaze umeme kwa ufanisi (but then ili halina uhusiano na sababu za awali za kukatika umeme walizotoa kama kupungua kwa maji au maintance za Songas) this is something new and a separate issue.

Unaweza elewa umuhimu wa hiyo modernisation ya miundombinu but surely that requires strategic planning (jambo ambalo mara kadhaa wengine wameongelea humu ndani hizo skills mkurugenzi hana kwa kumsikiliza tu) or else angefanya risk management ya iyo issue na kupanga phases za kazi whilst mitigating concerns za kukatika umeme nchi nzima ovyo ovyo kama prioroty.

Kwa ivyo uwezi kuitumia hiyo modernisation plan ya shirika kama sababu ya kukatika umeme kwa sasa na wala kulaumu awamu zilizopita ni jambo la kawaida duniani baadhi ya makampuni kuwekeza ili kwenda na wakati but it’s done with minimal impact to their operation.

The whole thing is a long story kuelezea ila kwa watu wepesi wakimsikiliza Makamba wanaweza dhani anaongea vitu vya maana kweli, whereas in actual facts large chunks of his rhetoric huwa ni pure nonsense ya visababu vya kutetea failure yake.
 
Alafu hapo ulipo ukiwa kwenye kundi lenu la bavicha unajitahidi kwa juhudi zote kutanua matamvua zako kulaumu ccm kwamba haileti maendeleo, ila wakitokea watu kujaribu kuwachalenji mawaziri unasema ni chuki!

Nchi hii kuna watu mmelaaniwa aisee

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mbunge ana room kubwa sana kama ana nia ya dhati ya kuikosoa Serikali yake ya CCM, sidhani Mbunge Msukuma alishawahi kufika ofisini kwa Waziri Makamba kutaka ufafanuzi wa tuhuma zake, na kama angefika sidhani angeongea hayo aliyoyasema bila kusikiliza upande wa pili.

Hata hivyo Makamba ametoa ufafanuzi mzuri mno, na watanzania tumeridhika - majibu mazuri yenye mantiki.
 
Umenena Ukweli mtupu....
Hakuna ukweli wowote hapo, watu wanachotaka ni umeme hayo mengine wayafanye huko kwenye mipango yao
Kama watu walikua wanapigwa kamba na umeme ulikuwepo basi hizo kamba ziendelee.
 
Mbunge ana room kubwa sana kama ana nia ya dhati ya kuikosoa Serikali yake ya CCM, sidhani Mbunge Msukuma alishawahi kufika ofisini kwa Waziri Makamba kutaka ufafanuzi wa tuhuma zake, na kama angefika sidhani angeongea hayo aliyoyasema bila kusikiliza upande wa pili.

Hata hivyo Makamba ametoa ufafanuzi mzuri mno, na watanzania tumeridhika - majibu mazuri yenye mantiki.
Sasa hapo kuna haja gani ya kuwa na bunge? Bungeni Kuna muda wa maswali na majibu, na sio makamba tu anayeulizwa maswali hayo maswali yapo kwa mawaziri wote.
Mbona kwenye suala la maji, aweso anajibu na hatusemi wanamuonea wivu?
Alafu usiseme watanzania wote tumeridhika, acha huo ujinga
 
Ukimsikiliza Msukuma vizuri utaona nia yake haikuwa kupata ufafanuzi wa zile shutuma kwa nia njema laah bali ilikuwa ni kutaka kumshambulia Waziri na kuutangazia umma kwamba hafai kuongoza hiyo Wizara.

Lakini Waziri Makamba kafafanua vizuri mno, mwenye akili atamuelewa - huwezi kuvuta umeme umbali wa km 1.5 bila substations - umeme utafika ukiwa hafifu. Tanesco walifanya kazi kwa mashinikizo ya kisiasa utaalaam ukawekwa kando nguvu zikawa nyingi.

Makamba upo sahihi, hawa waandika Legacy achana nao washakwama.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Wananchi tunataka umeme, maji,barabara, hospitali na Uhuru bas hatutaki maneno
 
Mbunge ana room kubwa sana kama ana nia ya dhati ya kuikosoa Serikali yake ya CCM, sidhani Mbunge Msukuma alishawahi kufika ofisini kwa Waziri Makamba kutaka ufafanuzi wa tuhuma zake, na kama angefika sidhani angeongea hayo aliyoyasema bila kusikiliza upande wa pili.

Hata hivyo Makamba ametoa ufafanuzi mzuri mno, na watanzania tumeridhika - majibu mazuri yenye mantiki.
Hata kina Lisu na wabunge wengine walivyokuwa wanabwabwaja kwa kutoa tuhuma lukuki kule bungeni ulishawahi kuongea kama hivi?..

Hivi hapo ulipo unafikiri anakomolewa Magufuli?

Wanaokomolewa ni bibi, babu, baba na mama zako kule kijijini!

Endelea kumtetea Makamba alafu baadae utakuja hapa kualalama juu ya umeme!

Tanzania hii ni masikini sababu ya upumbavu wa raia

Back
Top Bottom