Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Makamba CHIPLI CHUPLI nyingi, hivi umeme unawezaje waka kama haujafanyiwa service za mitambo kwa miaka6?? Hivi anaujua umeme vzr huyu jamaa? Si tungesikia plant zimekufa au matransfoma kuripuka?

Kipindi chote cha miaka6 hatujalalamika umeme yeye kaja na swaga za hakukua na service za mitambo. Hivi anatuona sisi vilaza sana, ana degree yyte ya umeme? Ana elim ya umeme?? Kaingia yeye tu umeme umekua shida.

Endeleen kuuza majenereta yenu shenzi.
 
Acheni kelele.. Hii wizara ina changamoto nyingi na hazijaanza leo wala jana.
Too early kumjudge vibaya Makamba aliyepewa wizara muda mfupi uliopita.
Nasisitiza ni mapema mno apewe muda zaidi..
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
 
Muda utaongea. Kuna baadhi ya mambo hayana maslahi kabisa kwa Taifa, kama hili la kukatakata umeme.

Kwani Makamba anakata umeme makusudi.
Tatizo sio Waziri, infact mtu yeyote akikalia kiti kile hata wewe leo hii umeme utaendelea kukatwa sababu mahitaji ya umeme yamezidi kuliko uzalishaji, kumbuka umeme umesambazwa sana vijijini na mahitaji yameongezeka kuzidi kasi ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.

Ungese mtupu umeandika, unajua cost za umeme wa gas? Na gas yenyewe tunanunua sio yetu. JNHPP ndo suluhisho pekee shida ya wabongo tunadandia tu,
 
Tume enjoy sana kipindi cha kalemani wewe utacompare kipindi cha makamba na nyuma? Acha chupli

Unamaanisha kipindi cha Kalemani uzalishaji wa umeme ulitosha kwa mahitaji ya nchi nzima?
Au unamaanisha wakati wa Kalemani umeme ulikuwa haukatiki?
Kwa hiyo Makamba ndiye anayekukatia wewe umeme?
 
Back
Top Bottom