babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Ns swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.Makamba ana take personal?!
Eti km una chuki na mimi au mama Samia.
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ns swali kaulizwa yeye km waziri anamchomekea Samia wa nini.Makamba ana take personal?!
..
..
Jibu swali kuhusu kukatika kwa umeme kiholela full stop.
Leteni Umeme acheni blaha blaha zenu.Tunataka Umeme wa uhakika sisi ebo,mnashindwa kuwajibika mmebakia kukunja mashati kama Obama mkidhani mtakuja kuwa kina "POTUS "wa Tanzania 🙂Ukweli mchungu huu watu wa legacy.
..
Tunataka Umeme wa uhakika sisi ebo..
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.Acheni kelele.. Hii wizara ina changamoto nyingi na hazijaanza leo wala jana.
Too early kumjudge vibaya Makamba aliyepewa wizara muda mfupi uliopita.
Nasisitiza ni mapema mno apewe muda zaidi..
Lini Tanzania kulikuwa na umeme wa uhakika? Acheni chuki zenu nyie..
Muda utaongea. Kuna baadhi ya mambo hayana maslahi kabisa kwa Taifa, kama hili la kukatakata umeme.
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.
JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.
Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.
2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Pumbavu kweli wewePIGA KAZI MAKAMBA NAANZA KUHISI KUNA WATU WANA WUVU SANA KUONA VIJANA WENZAO WAKIPATA TEUZI
ROHO YA KWANINI INATUANDAMA SANA WATANZANIA
Tume enjoy sana kipindi cha kalemani wewe utacompare kipindi cha makamba na nyuma? Acha chupli