Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.

Pamoja na maelezo mengine, Makamba alitoa takwimu za TRA zinazoonyesha kipindi cha urais wa Samia suluhu na yeye akiwa waziri, makusanyo yamepanda, na kueleza hii inatokana na kuwa wao hawawakatii wenye viwanda umeme na kuwaambia wanyamaze ndio maana uzalishaji umepanda,

Makamba aliongeza pia matatizo ya kukatika kwa umeme yametokana na legacy, ambapo kipindi kilichopita repair and maintainance ilikuwa haifanywi ipasavyo, na akamaliza kwa kusema kama waziri aliyepita alipewa miaka 4, basi na yeye apewe miaka 4 waone kama hali ya kukatika itakuwepo na kama Magufuli walimpa miaka 6 basi na Samia wampe miaka 6 waone kama haya matatizo yatakuwepo

Sasa hapo Samia anaingiaje kwenye hoja za Msukuma.Huyo anajificha kwenye mbawa na Rais.wananchi wanataka yeye aondolewe hakuna mahala Msukuma kamtaja Samia.Dogo anachemsha.
 
Kwa nini lazima amtaje na Samia?. Kwa nini asijitetee yeye kama yeye?. Kwani msukuma amemsema na Samia?.

Kujikomba na kujipendekeza bado kunaendelea. Huyu hata apewe miaka 20 tusitegemee mabadiriko yoyote kutoka kwa Mr. Michongo kwenye hilo shirika zaidi ya upigaji.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Unawaza kwa kutumia makalio?? Watu wajinga kama nyie mlipaswa mnyongwe

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ujinga kabisa kwanini asijibu hoja ya umeme anakuja na swala la uwaziri na uraisi naye ni mweupe kichwani.
Hoja ijibiwe kisayansi wenye akili tunajua huyo msukuma amejibiwa, lkn akianza kutafuta cover ya rais kwa kuonyesha ameshambuliwa. Hana akili

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Chige ,napendekeza mwaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu, JF iwe jimbo la uchaguzi tupate mwakilishi kama wewe hivi ili akawanyooshe mawaziri na kuifanya serikali ifanye kazi inavyostahili.
 
Ndio tabia yake inaonekana ata alipovurugana na Magufuli kwenye sakata la audio clips. Akatupia picha akiwa na mzee Mwinyi wanacheka kama vile mzee wa watu ana support zile clips; mzee Mwinyi wacha amjie juu.
Maji yemekoregeka
 
January Makamba akijibu hoja za wabunge kuhusu kukatika kwa umeme, kwanza alimlaumu mbunge Musukuma kwa kumshambulia yeye binafsi na kueleza kazi ya ubunge sio kushambuliana na kama ana matatizo na yeye kuwa waziri au samia kuwa rais apeleke kwingine lakini sio kwenye masuala ya nchi.

Pamoja na maelezo mengine, Makamba alitoa takwimu za TRA zinazoonyesha kipindi cha urais wa Samia suluhu na yeye akiwa waziri, makusanyo yamepanda, na kueleza hii inatokana na kuwa wao hawawakatii wenye viwanda umeme na kuwaambia wanyamaze ndio maana uzalishaji umepanda.

Makamba aliongeza pia matatizo ya kukatika kwa umeme yametokana na legacy, ambapo kipindi kilichopita repair and maintainance ilikuwa haifanywi ipasavyo, na akamaliza kwa kusema kama waziri aliyepita alipewa miaka 4, basi na yeye apewe miaka 4 waone kama hali ya kukatika itakuwepo na kama Magufuli walimpa miaka 6 basi na Samia wampe miaka 6 waone kama haya matatizo yatakuwepo

Dikteta pamoja na mabaya yake mengi lakini kwenye umeme hapana aliweza sn
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.

Kwaiyo iyo baioanuai ya selous ni muhimu kuliko huo umeme???? Kwaiyo wewe una akili kuliko waliofanya research nakuona huo mradi utatufaa watanzania???? Kwaiyo wewe ulikuwa na akili zakuona mbali kuliko huyo magufuli? Haya niambie wewe mwenye akili ni nini umefanya cha kwako kwakulisaidia taifa?.....

Alafu wewe utakuwa ndo makamba yani tuache bwawa la nyerere tutumie umeme wa gesi kweli akili yako ipo Sawa Sawa wewe??? Gesi na maji kipi ni gharama kwa wananchi? Sometimes ni bora kukaa kimya kuliko kujifanya nchi ya baba ako hii mkuu......

Acheni maneno mengi tunataka umeme usio wa mgao ivi wewe unaujua umeme kweli??? Yani mitambo iwe mibovu na bado inazalisha umeme? Acheni siasa raia mambo yetu yanakuwa hayaendi nyie fala tutulizieni hio nishati aise
 
Kwaiyo iyo baioanuai ya selous ni muhimu kuliko huo umeme???? Kwaiyo wewe una akili kuliko waliofanya research nakuona huo mradi utatufaa watanzania???? Kwaiyo wewe ulikuwa na akili zakuina mbali kuliko huyo magufuli? Haya niambia wewe mwenye akili ni nini umefanya cha kwako kwakulisaidia taifa?.....

Alafu wewe utakuwa ndo makamba yani tuache bwawa la nyerere tutumie umeme wa gesi kweli akili yako ipo Sawa Sawa wewe??? Gesi na maji kipi ni gharama kwa wananchi? Sometimes ni bora kukaa kimya kuliko kujifanya nchi ya baba ako hii mkuu......

Acheni maneno mengi tunatana umeme usio wa mgao ivi wewe unaujua umeme kweli??? Yani mitambo iwe mibovu na bado inazalisha umeme? Acheni siasa raia mambo yetu yanakuwa hayaendi nyie fala tutulizieni hio nishati aise
wanajitetea lakini ukweli wanaujua sn
 
Huyu Makamba kwa Nini anamwigiza Rais katika deals umeme na wakati yeye ndio mwenye dhamana, huyu afai kabisa katika nafasi ya uwaziri.
 
Back
Top Bottom