JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Swali lako ni kama lile la humu ndani hakujawahi kupotea pesa imekuaje? na wewe ndo mgeni humo. Kama hujaiba huna namna ya kuthibitisha mpaka ukweli ujidhihirishe.Kwanini iwe sasa baada ya waziri Kalemani kutoka wizarani?
Jibu la swali lako linalenga kuthibitisha kuwa makamba anatengeneza dili la majenereta wakati tayari mm nimeshasema naamini sivyo na i hope hatoniprove wrong. Nasubiri ukweli ujidhihirishe.