JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Swali lako ni kama lile la humu ndani hakujawahi kupotea pesa imekuaje? na wewe ndo mgeni humo. Kama hujaiba huna namna ya kuthibitisha mpaka ukweli ujidhihirishe.Kwanini iwe sasa baada ya waziri Kalemani kutoka wizarani?
Kuandaa plan b hiyo ni jukumu la kila mmoja kulingana na uhitaji wa hiyo nishati.upo sahihi bt pia tuandae plan B ajili ya kukabiliana na hili tatizo maana umeme kwa sasa ndo engine ya wajasiriamali alafu unazingua kishenzi na wahusika hata hawajali.
Kwa Tanzania huo ni wimbo mzuri mbele ya mbuzi tu wao wanendelea na maisha yao kama kawaida tu.Swali lako ni kama lile la humu ndani hakujawahi kupotea pesa imekuaje? na wewe ndo mgeni humo. Kama hujaiba huna namna ya kuthibitisha mpaka ukweli ujidhihirishe.
Jibu la swali lako linalenga kuthibitisha kuwa makamba anatengeneza dili la majenereta wakati tayari mm nimeshasema naamini sivyo na i hope hatoniprove wrong. Nasubiri ukweli ujidhihirishe.
Mkuu ujaanua tu matanga?Watu wapo pale Tanesco kwa mambo yao... January,Mafuru,Maharage,Nehemia ni lethal combination....
Nikuhakikishie JPM angekuwa hai hili jambo lingekuwa tofauti sana....
Personally nakubali kwenye usimamizi JPM was real deal.
NdioHivi hawa ndio brain ya potential leaders wetu?
upo sahihi mkuu bt lazima tuandae plan B ya kukabiliana na tatizo hili maana licha ya makelele ya kila siku wahusika hata hawajali kabisaKusema watu lazima waseme ndiyo maana kuna platform kama hapa jf.
Walio anzisha hili jukwaa hawakuwa wajinga maana walijua kuwa kuna mambo lazima yasemwe nje ya mfumo wa serikali.
Watu mmelipwa kiasi gani kumchafua?
Kwanini unasema wamelipwa kumchafua?Watu mmelipwa kiasi gani kumchafua?
Wao kina nani boss? Hakuna wao na sisi kuna sisi.Kwa Tanzania huo ni wimbo mzuri mbele ya mbuzi tu wao wanendelea na maisha yao kama kawaida tu.
Sababu za kuridhisha zilitakiwa ziweje kwani? Akizileta hizo sababu wataacha kutoa nyongo?HAPA JANUARY HACHAFULIWI BALI WATU WANATOA NYONGO YAO KUTOKANA NA ADHA WANAYOPATA KWA UMEME KUKATIKAKATIKA NAHIVYO KUATHIRI MAISHA YAO!! SABABU ANAZOTOA JANUARY ZA UMEME KUWA KERO HAZIRIDHISHI!!!
Hivi kweli mkuu kukatika kwa umeme ni suala la kumchafua mtu?Nenda hata fb,insta hadi mtaani kilio ni kukatika kwa umeme tu kitu ambacho kinaonekana kwa macho.Labda tukuulize wewe,umeme ukikatwa let say eneo zima la kariakoo wewe kwako tu panakuwa na umeme hadi usione maumivu wanayopitia watu?Mimi kwasasa nipo Tanga wilaya moja huku jirani na Bumbuli anakotoka Makamba umeme haipiti siku mbili haujakatika asubuhi nakurudi jioni.Watu mmelipwa kiasi gani kumchafua?
Mkuu nunua jenereta kazi ziende. Wauza majenereta tulipata hasara sana awamu iliyopita
Hilo la plan b lipo kwa kila mtu na umuhimu wa hiyo nishati.upo sahihi mkuu bt lazima tuandae plan B ya kukabiliana na tatizo hili maana licha ya makelele ya kila siku wahusika hata hawajali kabisa
Perioooddd.Watu wanataka umeme wa uhakika, sio porojo.
Ndugu hata kama binadamu wote ni sawa .Wao kina nani boss? Hakuna wao na sisi kuna sisi.
Tupo ndani ya chumba kimoja kinaitwa TZ, akitokea mtu akakwapua trei la mayai kuna namna wote tunaumia.
Kama tumeingia kwenye siasa za dili basi jipange kukabiliana na matokeo yake na jinsi ya kukwepa athari zake kwako.