peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
January Makamba , Waziri wa Nishati. Tunakuomba usikie kilio cha wananchi na kauli ya Rais ya kazi iendelee.
Kuna fedha za kufanya miradi mipya ya umeme kwa kila mkoa ulizitenga na kuzipitisha kwenye bunge bajeti ya 2022/2023.
Tunakuomba tuko chini ya miguu yako tunasali ili fedha hizo zifike kwa mameneja wa tanesco mikoa kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo ya umeme ili wansnchi wafaidike kupsta umeme na kusnzisha viwanda.
Tunaomba fedha zitumwe kabla ya July 2022, tayari kwa kuanza utekelezaji wa hiyo miradi.
Mungu akubariki sana.