Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Si ndio maana nikasema haya mambo hautakiwi uyatilie maanani sana Kwa mustakabali wa afya ya akili, nafsi na mwili wako mjukuu wangu. Relax.

Uwe na asubuhi njema.
Na kweli siasa zina wenyewe

Asante babu, na kwako pia
 
Siyo utamaduni ni upumbavu na ushirikina tupu
 
Such a disgraced voluptuous creature.
 
This country is sick seriously....
Na anaitwa mh. waziri Tena wa afya??
 
Ni wakati mwafaka wa kuwapima utimamu wa akili wateule kabla hawajaapishwa.
 

Huyo ni Raisi mstaafu wa Malawi akipiga goti mbele ya Raisi mstaafu wa Tanzania Jakaya.

Kumbuka enzi hizo wote walikuwa madarakani (in power).

Jk wangu hapo kafuraahi, moyoni mwemwele mwemwele!
 
Yah right. Miaka yote alikuwa wapi kugalagala mpaka amsubiri Chief Hangaya. Acheni ujinga hapa.
Chief Hangaya ndio mara yake ya kwanza kwenda Songea toka achukue mamlaka ya urais pia labda ndio miradi imekamilika.
 
Kawaida kwa wanawake wa kingoni, mke wangu alishangaa bi mkubwa na wamama wengine walipogalauka baada ya wife kujifungua, 😆😆😆wife yeye ni mtu wa Tanga
Wenyeji wanaita KUGALAUKA
 
Nja mojawapo ya kteuliwa mbunge na uwazri- hakna zaidi. Ndpo tlipo fkia... dah!
 
Mama wa hovyo kabisa huyu
 
Hata Samia atakuwa amesikitika sana. Kwani si wananchi wanalipa kodi kwa ajili ya miradi ya maendeleo? Huu ni uchawa na ushamba sijui
Mambo ya ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…