Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Kwenye maofisi mikataba watu hawapewi kabisa. Pesa za mifuko ya jamii hazipelekwi.. Watu wengi hawajui hata kama kuna Waziri anahusika na ajira.
Dunia ya ushindani hailipi kwa cheti ulicho nacho. Kama unatafuta thamani halisi ya cheti chako nnenda kafundisheJenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni.
Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa vijana wamo kwenye maofisi lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa.
Mtu ana Masters’ analipwa Tshs. 200000. Kwenye maofisi mikataba watu hawapewi kabisa. Pesa za mifuko ya jamii hazipelekwi. Watu wengi hawajui hata kama kuna Waziri anahusika na ajira.
Dunia ya ushindani hailipi kwa cheti ulicho nacho. Kama unatafuta thamani halisi ya cheti chako nnenda kafundishe
Acha ujinga....kwenye suala la economy,demands and supplies ndio inayorun flows ya cash na sio elimu yako.....unaweza kua na master,lakini production yako ni ndogo mnoo kuliko mtu aiyeishia la nne .......ukiona haulipwi kulingana na skills zako,jua una skills duni zisizo na manufaa ......rahisi tu kama ungekua nazo,usingekubali kuajiriwa na kulipwa ujira mdogo,ungezitumia kujizalishia wewe mwenyeweJenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni.
Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa vijana wamo kwenye maofisi lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa.
Mtu ana Masters’ analipwa Tshs. 200000. Kwenye maofisi mikataba watu hawapewi kabisa. Pesa za mifuko ya jamii hazipelekwi. Watu wengi hawajui hata kama kuna Waziri anahusika na ajira.
Sasa waliopo mtaani ambao hawana akazi wanahusiana vipi na hoja ya mtoa mada?.Bora hata hao wapo maofisini, Kwa taarifa yako majority wapo mitaani na si kwa kupenda..., na huko mtaani mtu hajui kesho yake; angalau huyo / hao wana guarantee ya hata hizo 200K na security kwamba siku akizeeka watapata pension ya kununua panadol ya kuuguza maumivu...
Is that the value the country can afford?200K ni utopolo kwa maisha ya sasa
Ikiwa kuna watu wamekwapua ma B kadhaaIs that the value the country can afford?