Waziri Jenista, vijana wapo maofisini lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa

Waziri Jenista, vijana wapo maofisini lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa

Huyo mwenye master's na akalipwa laki mbili ni wale wanaosema nitafanya kazi kwa mshahara wowote...
 
Acha ujinga....kwenye suala la economy,demands and supplies ndio inayorun flows ya cash na sio elimu yako.....unaweza kua na master,lakini production yako ni ndogo mnoo kuliko mtu aiyeishia la nne .......ukiona haulipwi kulingana na skills zako,jua una skills duni zisizo na manufaa ......rahisi tu kama ungekua nazo,usingekubali kuajiriwa na kulipwa ujira mdogo,ungezitumia kujizalishia wewe mwenyewe
Yawezekana ni mfaidika wa mfumo wa dhuruma za ajira zilizopo. Waajiri binafsi na hasa wahindi wanawapunja sana waajiriwa waafrika. Wanahenyeshwa sana kazi kwa malipo duni kwa sababu wanajua ukiondoka 1000 wapo nje ya gate wanasubiria nafasi hiyo na hata maafisa wa kazi toka serikalini waliingia bahasha ndani mna laki wanaondoka kimya.
 
huyo maza ni wahovyo kabisa kunasiku nape na mama salma kikwete waliwasha moto bungeni kuhusu barabara za kusini
chaajabu huyu maza akaanza kuongea ujingaujinga eti wakusini wasione wanatengwa hata yeye ni wakusini
 
Back
Top Bottom