Acha ujinga....kwenye suala la economy,demands and supplies ndio inayorun flows ya cash na sio elimu yako.....unaweza kua na master,lakini production yako ni ndogo mnoo kuliko mtu aiyeishia la nne .......ukiona haulipwi kulingana na skills zako,jua una skills duni zisizo na manufaa ......rahisi tu kama ungekua nazo,usingekubali kuajiriwa na kulipwa ujira mdogo,ungezitumia kujizalishia wewe mwenyewe