Takwimu zinaonyesha kwamba huyu Jamaa alipokuwa Meya wa Ilala , alivunja rekodi ya kuuza maeneo ya wazi , sasa leo akiongea ngoja tumcheki tu .Speaking the word is easier than living it , nevertheless let's wait and see.
Meya hana mamlaka ya kuuza ardhi ya serikali kuu wala ya halmashauri. Labda huelewi wenye mamlaka ya ardhi za Tanzania ni nani.Takwimu zinaonyesha kwamba huyu Jamaa alipokuwa Meya wa Ilala , alivunja rekodi ya kuuza maeneo ya wazi , sasa leo akiongea ngoja tumcheki tu .
Aliyesema ana mamlaka ni nani ?Meya hana mamlaka ya kuuza ardhi ya serikali kuu wala ya halmashauri. Labda huelewi wenye mamlaka ya ardhi za Tanzania ni nani.
Kafanye homework yako vizuri, si wote ni mambumbumbu wenzako JF.
Anachokoza nyuki wa Msoga Kingdom,subiri aumwe!!Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta ...
Una haki ya kwenda kushitaki, unangoja nini?Kwani ufisadi unaruhusiwa na katiba? Mbona Kila mwaka wizi ufisadi unaanikwa na CAG? Same to Jerry, kufanya lobbying mtu auziwe open space sio jukumu lake ila ndio hivyo alipiga hela sana.
Hata JPM alipokua anatoa maagizo hifadhi ya Barabara iondolewe mabango ni huyu huyu dogo alipinga kwa kejeli kisa tu alikua mfukoni mwa wafanyabiashara.
So acha kutetea ujinga
Kwi Kwi KwiUna haki ya kwenda kushitaki, unangoja nini?
Kumekucha😳😳😳😳Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
Siyo Ndugu hao. Silaa vs SlaaMuacheni anasafisha jina la ukoo,
Yule mwingine amekuwa kimeo...
Sio ndugu mmoja mchanga mwingine mbuluMuacheni anasafisha jina la ukoo,
Yule mwingine amekuwa kimeo...
Angalia huyu naeMeya hana mamlaka ya kuuza ardhi ya serikali kuu wala ya halmashauri. Labda huelewi wenye mamlaka ya ardhi za Tanzania ni nani.
Kafanye homework yako vizuri, si wote ni mambumbumbu wenzako JF.
Hivi ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta ndio unakuaje? Hizi ni kiki za Kisiasa za kijinga.Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
Hahahaaaaa.Hivi ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta ndio unakuaje? Hizi ni kiki za Kisiasa za kijinga.
...
Badala apige marufuku ujenzi holela wa makazi analeta upuuzi
Haka kajamaa kala rusha kakubwa kanafanya maigizo matupuWaziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.