mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Mbunge Shamsi Vuai Nahodha, Mbunge wa kuteuliwa, kwenye Bunge la April, 2023, Dodoma alisema Tanzania haina utaratibu mzuri wa kuwaandaa viongozi wa baadaye na kwamba ndilo tatizo la kusababisha upungufu kwa baadhi ya maeneo na matokeo yake ndio haya tunayosikia na kuona.Haka kajamaa kala rusha kakubwa kanafanya maigizo matupu
Kila chama kina Matawi ya Vijana, ambayo kimsingi yanapaswa kutumika kuandaa viongozi wa kesho toka ngazi za Shina hadi Taifa. Je, hayo Matawi ya Vijana yanatumika hivyo?