Mbunge Shamsi Vuai Nahodha, Mbunge wa kuteuliwa, kwenye Bunge la April, 2023, Dodoma alisema Tanzania haina utaratibu mzuri wa kuwaandaa viongozi wa baadaye na kwamba ndilo tatizo la kusababisha upungufu kwa baadhi ya maeneo na matokeo yake ndio haya tunayosikia na kuona.Haka kajamaa kala rusha kakubwa kanafanya maigizo matupu
Hili dish Leo linakamata channel vizuri.Hivi ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta ndio unakuaje? Hizi ni kiki za Kisiasa za kijinga.
Na Je kama sheria inayotumika ni ya zamani Kuna tatizo gani kufutwa au kuwa ignored?
Vituo vya Mafuta ni biashara kuvisongamanisha sio hoja ya maana ,hizi ni kiki za Kutafutia hela za kuhongwa.
Badala apige marufuku ujenzi holela wa makazi analeta upuuzi
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
Brother hiyo ni kiki hakuna kitu kingine. Kwani NEMC na watendaji wengine wa serikali walikuwa wapi kabla ya Jerry slaa.Hivi ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta ndio unakuaje? Hizi ni kiki za Kisiasa za kijinga.
Na Je kama sheria inayotumika ni ya zamani Kuna tatizo gani kufutwa au kuwa ignored?
Vituo vya Mafuta ni biashara kuvisongamanisha sio hoja ya maana ,hizi ni kiki za Kutafutia hela za kuhongwa.
Badala apige marufuku ujenzi holela wa makazi analeta upuuzi
SUMBAWANGA MJINI KUNA KITUO KINAJENGWA MITA 20 TOKA VILIPO VITUO VINGINEWaziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
Anaweza akawa na hoja.Kwa wakati ule ardhi ilikuwa chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali za mitaa.Kwa hiyo hizo mamlaka ndiyo zilikuwa na mamlaka za kugawa viwanja na meya ndiyo bosi wa mamlaka husika.Meya hana mamlaka ya kuuza ardhi ya serikali kuu wala ya halmashauri. Labda huelewi wenye mamlaka ya ardhi za Tanzania ni nani.
Kafanye homework yako vizuri, si wote ni mambumbumbu wenzako JF.
[emoji1] anazivuta bahasha kwa style huyoMwendawazimu mwingine kapewa rungu
Huyu Wizara imeshamshinda asbhi na mapemaWaziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
Fulsa, fulsa, fulsa, ameona fulsa mapama na fasta so kupiga stop hiyo kitu kwake ni fulsa, lazima mtu aje mezani kuyajenga na Waziri.Takwimu zinaonyesha kwamba huyu Jamaa alipokuwa Meya wa Ilala , alivunja rekodi ya kuuza maeneo ya wazi , sasa leo akiongea ngoja tumcheki tu .
Ni mmeru sio mchaga.Sio ndugu mmoja mchanga mwingine mbulu
Aanze na Lake Oil, sasa hivi vitaumana.Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
Ila we si uko Kyela,pigania ya Ngyeke, Ipande, Ipinda, Matema, ItungiTakwimu zinaonyesha kwamba huyu Jamaa alipokuwa Meya wa Ilala , alivunja rekodi ya kuuza maeneo ya wazi , sasa leo akiongea ngoja tumcheki tu .
Ni kweli , Lakini huyu sasa anaweza hata kuiuza Kyela yote kutokana na uwaziri huuIla we si uko Kyela,pigania ya Ngyeke, Ipande, Ipinda, Matema, Itungi
Watu si wanajitoaga ufahamu wakiwa na njaaHili dish Leo linakamata channel vizuri.
Mheshimiwa Waziri Jerry SlaaWaziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.
Waziri Silaa ameyasema haya katika mkutano wake na Watendaji wa Wizara hiyo ikiwa ni siku yake ya kwanza Ofisini toka aapishwe kuwa Waziri ambapo amesisitiza kuwa Vituo vya ndani ya Mji kuwe na umbali wa mita mia mbili kati ya kituo kimoja hadi kingine.
OkayWaziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo.