Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

Sidhani kama ule uamuzi ulikuwa wa Nape personally, usijidanganye.
 
Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,

Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk.

Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata.

Tunaomba usije ukawekwa mfukoni na mitandao ya simu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako.

Pia soma
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea nchini sidhani kama hii itawezekana
 
Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,

Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk.

Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata.

Tunaomba usije ukawekwa mfukoni na mitandao ya simu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako.

Pia soma
🤣
 
Back
Top Bottom