Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Alinikera bei za mabando zilipopanda bei zaidi ya 100%Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kizingiti (the stumbling block) kimeshanyofolewa. Starlink ya Elon Musk kuanza kazi karibuni nchini.
Jerry hatatuangusha.
Ila ukikamatwaStarlink inatumika siku nyingi tu mkuu, hata hapo Sirali mpaka accessories za stalink zinapatikana
wadau wananunua kisii siku miingi!...' Kuna majirani wawili maeneo nilipo hapa nyakato, Mza wanatumia net ya starlink mwaka wa pili huu.
ntumie ile video ya kobaz gen-z wakibambiana aisee, nikwambie mara ngapi we jombaaIla ukikamatwa
Mafanikio mazuri.Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kizingiti (the stumbling block) kimeshanyofolewa. Starlink ya Elon Musk kuanza kazi karibuni nchini.
Jerry hatatuangusha.
Unachukulia watu hapa bongo kiwepesi sana, hiyo hela watu wanalewa kila weekend tu. Muhimu competition iwepo, hao kina Airtel na wenzie wote lao moja1.2m ya kuinstall wangapi wanayo?
starlink haitowaondoa kina airtel, wala sio lengo lake.
Nchi gani hiyo wewe barbarian savage?kuanza kazi karibuni nchini.
Kwani lazima kila mtu awe nayo?1.2m ya kuinstall wangapi wanayo?
starlink haitowaondoa kina airtel, wala sio lengo lake.
Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake1.2m ya kuinstall wangapi wanayo?
starlink haitowaondoa kina airtel, wala sio lengo lake.
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea nchini sidhani kama hii itawezekanaHabari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,
Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk.
Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata.
Tunaomba usije ukawekwa mfukoni na mitandao ya simu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako.
Pia soma
🤣Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,