Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?

Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?

Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
 
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?

Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
Kwani hujaona kushikishwa adabu mwanaiinjiii?
 
Silaa alikuwa anapenda sana camera ndio maana wamemtoa ardhi na sasa amejifunza aache kupenda kiki. ( kapelekwa wizara isiyo na nafasi ya kupata kiki )

CCM hawataki kurudia kosa la kuruhusu waziri awe maarufu kuliko Rais kama walilolifanya kwa Lowassa.

Kwa sasa ni Rais tu ndie anapaswa awe maarufu kuliko wanasiasa wote wa CCM.
 
Hela za makampuni ya simu zina control number na strict audit policy, and, of course, they are tycoons talking to the boss.

Wale wa kutishia navunja, futa hati....... , mwambie she anione,kama ile kesi ya Nyamongo ambako m wananchi alikuwa anadai billioni kwa Barrick, Silaa akaingilia kesi iliyo mahakama ni, lakini ni baada ya kuonwa na watu wa mgodi. Huko hawapo, ila kapiga udalali wa kutosha, alikuwa hakosi Kariakoo, Mbezi, Mbweni, Manzese na Randall aaahh!
 
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?

Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?
Mimi nashangaa Tigo wameniibia mb zangu 30 yeye amekaa kimya
 
Silaa alikuwa anapenda sana camera ndio maana wamemtoa ardhi na sasa amejifunza aache kupenda kiki. ( kapelekwa wizara isiyo na nafasi ya kupata kiki )

CCM hawataki kurudia kosa la kuruhusu waziri awe maarufu kuliko Rais kama walilolifanya kwa Lowassa.

Kwa sasa ni Rais tu ndie anapaswa awe maarufu kuliko wanasiasa wote wa CCM.
Lakini Jerry Silaa siku zote katika kazi zake alikua anatanguliza jina.la Dr Samia Suluhu Hassan kua amemtuma kusimamia haki za wananchi watanzania, hata mimi ni shahidi, mkono wa Rais ulinigusa kupitia mteule wa Rais Jerry Silaa namshukuru Mungu kwa kila jambo hadi sasa!![emoji1431]
 
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?

Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?

Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja

03 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Vodacom-PR-10.jpg

Vodacom Tanzania Plc recently hosted Vodacom Group CEO Shameel Joosub and the Vodacom Group Board, led by Chairman Sakumzi Macozoma, during their visit to Tanzania.

The visit marked an important step in strengthening Vodacom’s ongoing commitment to fostering technological innovation and advancing digital transformation in the country.

During the visit, the Vodacom delegation met with Hon. Jerry Silaa, Tanzania’s Minister of Information, Communication, and Information Technology.

Discussions revolved around key themes, including the critical role of public-private partnerships (PPP) in driving national development, and the ways Vodacom can support the government’s vision for digital transformation.

The meeting underscored Vodacom’s focus on collaboration to accelerate the adoption of technology, helping to create a more connected and innovative future for Tanzania.
Vodacom Tanzania reaffirmed its dedication to working closely with the government to drive progress and empower every Tanzanian through technology.

The company is focused on expanding digital access, bridging connectivity gaps, and fostering a future where technology supports economic growth and national development
 
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?

Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?

Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
Kafichwa.. Sikio ni sikio tuu kamwe haliwezi kuzidi kichwa.. Aligusa maslahi ya wenyewe huko alikotoka sasa wamemtuliza
 
Bila shaka, maana daily niliona hata ule ustahililivu wa kiuongozi ulikuwa ukimponyoka. Akawa anajisahau kuwa yeye ni mtumishi
 
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?

Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?

Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
Anaitwa Jerry Slaa.Siyo Silaa.Kuwa makini.
 
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?

Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?

Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja

Tafuta Pesa utatue matatizo yako kabla ya matatizo ya wizara na Lebanon
 
Back
Top Bottom