huyu huwa mbeleko mbeleko hana la maana kwenye jamii, jimboni kwake barabara movu zimeoza huwezi amini kama ndio ilala jijiUkweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?
Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja