Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Kwani hujaona kushikishwa adabu mwanaiinjiii?Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?
Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
Hapo umeniachaKwani hujaona kushikiwa adabu mwanaiinjiii?
MwananchiHapo umeniacha
Pole ila tuko pamoja.Hapo umeniacha
Muda tuWamemtoa wizara aliyekuwa ana perform vizuri wamempeleka sehemu siyoo
Hivi kile kituo cha mafuta kilichosimamishwa kimeanza kazi
Ova
Mimi nashangaa Tigo wameniibia mb zangu 30 yeye amekaa kimyaUkweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?
Lakini Jerry Silaa siku zote katika kazi zake alikua anatanguliza jina.la Dr Samia Suluhu Hassan kua amemtuma kusimamia haki za wananchi watanzania, hata mimi ni shahidi, mkono wa Rais ulinigusa kupitia mteule wa Rais Jerry Silaa namshukuru Mungu kwa kila jambo hadi sasa!![emoji1431]Silaa alikuwa anapenda sana camera ndio maana wamemtoa ardhi na sasa amejifunza aache kupenda kiki. ( kapelekwa wizara isiyo na nafasi ya kupata kiki )
CCM hawataki kurudia kosa la kuruhusu waziri awe maarufu kuliko Rais kama walilolifanya kwa Lowassa.
Kwa sasa ni Rais tu ndie anapaswa awe maarufu kuliko wanasiasa wote wa CCM.
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?
Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
Kafichwa.. Sikio ni sikio tuu kamwe haliwezi kuzidi kichwa.. Aligusa maslahi ya wenyewe huko alikotoka sasa wamemtulizaUkweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo public?
Wandugu tumpe waziri ajenda huko mawasiliano. Naanza na hii ya mtoa huduma kutoa siri z za wateja
Jerry milungula ndio imemtoa, alikula milungula wa kesi moja ya Tarime kati ya m wananchi na Barrick, akazuia haki ya m wananchi japo alishinda mahakamaniJerry Slaa ni wa kundi lileee lililovunjíka, hivyo naye kavunjwa moyo. Anatafuta ajinasue vipi kwa huyu bibi kizee.
Bila shaka, maana daily niliona hata ule ustahililivu wa kiuongozi ulikuwa ukimponyoka. Akawa anajisahau kuwa yeye ni mtumishiKafichwa.. Sikio ni sikio tuu kamwe haliwezi kuzidi kichwa.. Aligusa maslahi ya wenyewe huko alikotoka sasa wamemtuliza
Anaitwa Jerry Slaa.Siyo Silaa.Kuwa makini.Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?