Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

huyu huwa mbeleko mbeleko hana la maana kwenye jamii, jimboni kwake barabara movu zimeoza huwezi amini kama ndio ilala jiji
 
YUKO WIZARANI.
 
Nimejikuta nacheka sana ila sijui kwanini na cheka
 
Usikariri sana,kila Wizara ina mifumo yake ya kiutendaji na haifanani!!
 
Hujanielewa. Tulia
Tulia wwe,au mnataka hadi Jerry Silaa afunguwe simu ya Boni yai direct kupitia tcra, alafu muaanze kulia waziri hafuati sheria kafungua simu ya Boni yai na ushahidi wa mauwaji ya Mzee Kibao yaanza kupata mwanga!!
 
Kaona kumbe watanzania ukiwatetea wakiisha pata haki zao wanakusema hufai sasa bora nijikalie kimya nile mshahara watanzania usiwasaidie watakubeza
 
Mbona hata magufuli alpo bafilshwa Toka ujenzi kwenda uvuvi alikuwa bubu
Alipokuwa ujenzi alikariri km za brbr uvuvi akishindwa kabisa kukariri idadi ya samaki baharuni
 
Mbona hata magufuli alpo bafilshwa Toka ujenzi kwenda uvuvi alikuwa bubu
Alipokuwa ujenzi alikariri km za brbr uvuvi akishindwa kabisa kukariri idadi ya samaki baharuni
Alikuwa anajua idadi ya samaki waliopo Tanzania !
 
Dah...
It5 sad.
 
Mbona hata magufuli alpo bafilshwa Toka ujenzi kwenda uvuvi alikuwa bubu
Alipokuwa ujenzi alikariri km za brbr uvuvi akishindwa kabisa kukariri idadi ya samaki baharuni
Kwa hiyo unamshutumu kwa kushindwa kujua idadi ya samaki?
 
Watakuwa washamshughulikia, alileta ujinga kimbelembele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…