Waziri Jumaa Aweso, kanisa lililojengwa bila kibali lajiunganishia maji na kuiba maji ya Tuwasa mchana kweupe

Kosa liko palepale au ndio ulivyoandika hivi kosa limeondoka la kuiba maji .
aliyeibiwa alitakiwa kwenda polisi, ukiona hajaenda kuripoti polisi ujue hakuna kilichoibiwa hapo. mnapiga porojo tu. acheni watu wasali hata kama wanawapigia kelele na kusumbua mapepo yenu.
 
Tupe hata picha , umbea bila picha haunogi

aliyeibiwa alitakiwa kwenda polisi, ukiona hajaenda kuripoti polisi ujue hakuna kilichoibiwa hapo. mnapiga porojo tu. acheni watu wasali hata kama wanawapigia kelele na kusumbua mapepo yenu.
Acheni wizi ndugu ,Kama umeishia darasa la pili jua sasa hii inaitwa whistle blower .
 
aliyeibiwa alitakiwa kwenda polisi, ukiona hajaenda kuripoti polisi ujue hakuna kilichoibiwa hapo. mnapiga porojo tu. acheni watu wasali hata kama wanawapigia kelele na kusumbua mapepo yenu.
Mchungaji mwenyewe mlemavu wa miguu ameshindwa kujiombea yeye apone ndio ataombea wengine ? .Miguu iko kama mkasi njoo na wewe umuombee tuone Kama atapona .
 
Mchungaji mwenyewe mlemavu wa miguu ameshindwa kujiombea yeye apone ndio ataombea wengine ? .Miguu iko kama mkasi njoo na wewe umuombee tuone Kama atapona .
na wewe jiandae kuwa mlevamu muda si mrefu ili uache kuwasema vibaya watu walio walemavu. be ready.
 
Spika za Walokole ni kiboko ya Mapepo yatawatoka tu
 
King kisali usivizuri kumhukum kwa maumbile yake
Mchungaji mwenyewe mlemavu wa miguu ameshindwa kujiombea yeye apone ndio ataombea wengine ? .Miguu iko kama mkasi njoo na wewe umuombee tuone Kama atapona .
 
Kanisa linaitwaje hilo.. isiwe majungu majungu tu wrka taarifa kamili..
Kama mtaa huo unamakanisa matatu sisi tutajuaje?
Kamilisha taarifa yako mkuu..
 
WANYAMWEZI NI WATU WA MAJUNGU,CHUKI,WIVU NA UMBEA. NENDA MAMLAKA YA MAJI KASHTAKI. HILI KANISA LIMEKUTESA SANA.MPAKA HII LEO HALIJAVUNJWA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole dogo. Sasa tafuta ajira watakuua kwa presha. Uganga naona kwa sasa haukulipi.
 
Jamaa nadhani ana chuki binafsi. Ni muda sana anahangaika na hilo Kanisa. Nmeshamshauri aende vyombo husika. Hataki. Anakimbilia huku na jina ameficha. Mhuni,mchawi flani hivi(niliwahi soma sehemu ni mganganwa jadi) anakosa wateja kwa sasa.
 
jamaa anaongea utafikiri yeye ndiye mtoa vibali, unajuaje kama hawajaruhusiwa? halafu, kitu kinachopiga kelele mitaani ni kanisa tu? baa na masinagogi mengine huko huwa hayatusumbui usingizi ule wa asubuhi? acha watu waabudu jombaaa.
Kuiba je!
 
Mkuu tatizo utaji hilo kabisa ni dhehebu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…