moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 484
- 337
Nyuklia management yake ni ngumu sana na gharama sana , ni umeme hatari japo nu nafuu.Kwa nini tusitumie nyuklia , pale Songea ipo ya kutosha au mnaogopa yasije kutokea ya Japan mwaka 2011 , vinu kufumuka , hata hvyo hyo ilikuwa accidentally from tsunami wave shock
Nyuklia umeweka pia factor ya incase contamination hasa hasa kwa nchi yetu ambayo tunajua uzembe ni kila kona?Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Nchi nyingi ulaya wanatumia wa nuklia tatizo ni mabaki yake ndio huwa wanakuja kutupa nchi za dunia ya tatu kwa pesa kidogoSo kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
yaani natamani hata kesho mama samia aanzishe urutunishaji ila sasa je yupo tayari kutunishiana misuli na wamarekani israel na wengineo?Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Amekariri Miamba hajui kilichomo,Watz walishafumbuliwa macho na Hayati maprofesa wachumia tumbo ovyo kabisa.Muhongo ni msomi lakini hana maarifa.
Nani alikwambia wanafyeka miti yote hiyo wewe?? wanajenga tuta wanaanza kujaza maji yanafunika miti yote hiyo nenda youtube ukaangalieNuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Risk ni kubwa sana kwenye nukes compared to h.e.p rejelea chernoblyKwa nini tusitumie nyuklia , pale Songea ipo ya kutosha au mnaogopa yasije kutokea ya Japan mwaka 2011 , vinu kufumuka , hata hvyo hyo ilikuwa accidentally from tsunami wave shock
So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Kwa nini tusitumie nyuklia , pale Songea ipo ya kutosha au mnaogopa yasije kutokea ya Japan mwaka 2011 , vinu kufumuka , hata hvyo hyo ilikuwa accidentally from tsunami wave shock
So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Mbona umeua sana watu Bukoba mpaka wengine wako kwenye shuduumeme wa maji ndio wa nafuu
Haha haa...Kuna mtu hashawahi kusema nchi hii haijawahi kuwa na Prof muongo kama Prof Muhongo
Nyuklia Energy ni cheaper Sana kwa sababu inatumia fuel Ndogo kuzalisha Nishati na hiyo ndio sababu unaona zimepagwa hivyo.So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Gram 1 ya Uranium inatoa 1MW.Madini ya uranium ya nyuklia hayachimbwi ardhini? au yenyewe hugemwa hewani?
Sababu Nchi hazitumii Nyuklia ni Ujuzi na Hofu ya Radiation.Sidhani kama uko sahihi kwenye hili, uranium kama ilivyo haiwezi kukusaidia kuzalisha umeme, itabidi hiyo uranium isafirishe kupelekwa kwenye nchi zinazo chengenua na kutengeneza FUEL RODS, halafu wakuletee utumie kuzalisha umeme. Na dunia kwa jinsi huo mpango wa fuel road uko sensitive, ni nchi chache sana wanaruhusiwa kufanya hivyo. Hapo hapo hujaweka gharama za kujenga mtambo wa umeme wa nuclear pamoja na gharama za maafa kama iliyotokea India, Russia na Japan