Sasa umeme unaye tegemea kudra za mnyazi mungu,mvua zinyeshe wewe ndio unaona reliable,hujui kuna mabadiliko ya tabia nchi?Naona wameanza kula za uso haya majitu sijui ni Binadamu au ni Watu unasikia jitu lina degrees sijui nne linasema Hydro Electric power is an outdated Source of electricity while Himself is an outdated professor ever!??
Tunauwezo wa kulinda plants za nuclear isijekuwa kama Fukushima kule Japan?So kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Bado hatujafikia huko, bwawa la maji latosha.Tunauwezo wa kulinda plants za nuclear isijekuwa kama Fukushima kule Japan?
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Bora na wewe umechangia. Ukikua utaacha. Nuklia cheap kuliko maji???Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Linaitwa "Bunge"Mkuu kundi la Bundi lina tabia zipi?
maintaining nuclear plant is costly and hazardous than any in list.Kiwango cha mahitaji yake kwa umeme ni kidogo Sana
Na sio kuwa utakuwa unachimba kila siku
Na ukzingatia wametumia feasibility staudy ya mwaka 1970Nuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Weka mbali na watoto mzee hio kitu usifanye mchezo na Nuclear plant inataka Care ya hali ya juu sana, Africa nzima ni South africa tu na anavuna umeme kwa nuclear tena hata robo ya Total MW zake hazifiki, Nuclear apana utaua watu mzeeSo kumbe nyuklia ndo cheaper kuliko hata gas na tuna uranium Tele songea
Hiyo bei (Tshs. 147) ya kuzalisha unit moja kwa gesi, ni kwa GAS TURBINES au GAS COMBASTION ENGINES?Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.
Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi
Asema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote
Alizitaja gharama za kuzalisha umeme kwa unit kwa shilingi za kitanzania kwa kila chanzo ni kama ifuatavyo:
- Maji ni shilingi 36 kwa unit moja
- Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja
- Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja
- Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja
- Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja
- Gas shilingi 147 kwa unit moja
- Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja
Yale yale ya HiroshimaWeka mbali na watoto mzee hio kitu usifanye mchezo na Nuclear plant inataka Care ya hali ya juu sana, Africa nzima ni South africa tu na anavuna umeme kwa nuclear tena hata robo ya Total MW zake hazifiki, Nuclear apana utaua watu mzee
Wote waongo tu....!!Prof Muhongo ndie muongo au Kalemani ndie muongo?
Sio kudalalia, Sospeter (wahaya wanatamka "sosipateli") enzi zile walivuta mgao wao kabisa! Sospeter hadi akavimbiwa akaanzisha bifu na Mzee Reginald Mengi(RIP) kwa kusema eti hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kumiliki na kitalu cha gesi na badala yake wajikite kwenye biashara ya level zao kama kuanzisha viwanda vya kukamua juisi ya matunda....maneno ambayo marehemu Mengi yalimuuma Sana!Kwahiyo yule jamaa Muongo alikua anadalalia umeme wa Gesi,
Salalee...hawa wazee hawa, daah.
Unaweza mkuu Umeme unapimwa kwa Power na sio Mode of Generation, Changamoto ya solar ni kuwa technology ya kibadili Jua kuwa umeme haijawa archived hata 50% ndio maana unaona solar till now inatumika kwa matumizi madogo mana ata storage(Battery Bank) ni changamotogharama za mabetri kuyabadilisha pili umeme wake hauwezi endesha mitambo mikubwa ya viwanda
Waweza tumia solar kuendesha hata mashine ya kusaga nafaka?
Jamaa anadhani Nuclear ni Mzaha mzaha, Hemu tujenge Matundu wa vyoo walau shule zote kwanzaYale yale ya Hiroshima
Muongo ni muongo ooh no. Muongo ni Muhongo!Prof Muhongo ndie muongo au Kalemani ndie muongo?
Wakuu, TZ hii hii ambayo bado tunapewa misaada ya ujenzi wa vyoo leo tuwe na nyuklia. Tuwe serious kidogo hapa.
Tuanze tunapoweza- maji. Africa nzima nchi yenye nuclear powerplant ni SA tu.
Gram 1 ya Uranium inatoa 1MW.
Uranium inayotosha kiganja chako cha mkono inatosha kuzalisha umeme wote tunaotumia Tanzania