Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

Hii ni pumba tupu kwa sababu hata kama daladala ina watu kumi tu na mmoja ana Corona, huyo mmoja mwenye corona ana uwezo wa kuambukiza tisa waliobaki!
 
Huyo waziri hajawai kuwa serious vikao vya nn tena wakati hapo ni ishu ya kutoa maagizo ya level seat !!

Waziri wa Kazi naye ajaribu kuongea na waajiri watoe likizo ya mwezi kwa baadhi ya wafanyakazi ili kupunguza mrundikano maeneo ya kazi na public transport mfano mzuri Google na Facebook wamepunguza wafanyakazi kwa kuwapa likizo na baadhi ya kazi zinfanywa majumbani sio maofisini.
Huyu hapa msikie mwenyewe
 
Waziri Kamwelwe, toa tamko (agizo) MAGARI ya abiria yote yapakie kulingana na viti ndani ya gari.

Kuwataka Latra watoe muongozo ni KUKWEPA WAJIBU WAKO.

Kadi za MAGARI yote zinaonesha idadi ya abiria wanaotakiwa kuingia / kupakia gari.

TOA AGIZO/AMRI SHERIA ZIHESHIMIWE NA ZIFUATWE.

ASKARI (IGP) ASIMAMIE HILO.

KAZI HIYO ISIFANYWE KWA MAZOEA.

NI SHERIA GANI ILIYORUHUSU DALADALA KUJAZA ABIRIA KULIKO KIPIMO CHAKE?

NI MAZOEA YA KUPUUZA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI .
 
Una point muhimu!
 
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano.

Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa anaelezea hatua zinazochukuliwa na wizara yake ili kujikinga na virusi vya korona.

Chanzo: ITV habari
-----

March 18, 2020

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh.Eng. Isack Kamwelwe atoa tamko kufuatia Coronavirus Covid-19.

Tamko hilo la Waziri Isack Kamwelwe linahusu sekta ya usafiri wa barabara, reli, anga na majini linataka wenye vyombo vya usafiri na watumiaji kuchukua tahadhari kubwa kufuatia ugonjwa huo kufuatia tangazo la Wizara ya Afya kuthibitisha ugonjwa huo upo Tanzania.

  1. Kampuni za usafiri wafungue vituo zaidi vya kukatia tiketi nje ya vituo vikuu vya usafiri.
  2. Tiketi za kieletroniki ziamzishwe kupunguza msongamano.
  3. Wafanyakazi na abiri watumie sanitizier mara kwa mara kusafisha viganja vyao washikapo nauli, chenji, kushika viti n.k
  4. LATRA, TBS, na wizara ndani ya siku tatu waamue ni idadi gani ya abiria wawemo katika chombo cha usafiri ili kupunguza uwezekano wa maambukizi.
  5. TAZARA na TRC wahakikishe vifaa vya kusafisha mikono viwepo stesheni na katika treni.
  6. Mamlaka za usimamizi wa bandari na zile za viwanja vya ndege kwahakikishe kuwapo na vifaa vya kusafisha mikono n.k katika maeneo yao.
  7. Taasisi zote za usafiri zishirikiane na wizara ya Afya ili kuweza kuchapisha na kubandika matangazo yenye habari sahihi juu ya namna ya kuwa safi na pia kuzuia kusambaa ugonjwa wa Covid19 Coronavirus.

Source: Global TV online

Huu ni mkakati kweli?
Haufanani na mkakati.
 
level seat.
Kwahiyo mkiwa level seat corona haiwapati?
Tatizo tunashindwa kujifunza toka kwa mataifa yaliyoathirika kwani wao walitumia njia hizi?za level seat?nimeona juzi italy basi zima wamo watu saba tu!
Kwa hali za maisha yetu afrika hatuwezi pambana na hii kitu ndio maana mungu katuepusha imebaki kutiana hofu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangezuia tu ndege kuingia nchini jamani maana uwezo wetu wa kupambana na huu ugonjwa somehow ni mdogo na hata katika mipaka yetu tuzuie jamani.... sasa kama watu wamefika sita tutategemea nini... hata kama tuna mahusiano mazuri kiasi gani ila afya kwanza ... daaaah
 
Hakuna idadi yoyote ya abiria wanaouruhusiwa kusimama katika gari yoyote ya abiria,hakuna muongozo wowote unaohitajika hapo,acheni kupoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inashangaza kuona Waziri anaomba LATRA na wadau wengine waamue idadi ya abiria wa kusimama katika dalada/mwednokasi, wakati kuna sheria ya Usalama Barabarani inayokataza abiria kusimama ndani ya chommmbo cha usafiri. N hii ni kwa mabasi, coaster, daladala. Ndiyo magari kama malori yabebi abiria kwa sababu hamna seats, sasa inakuwaje kwa mabasi!
 
Kwahiyo mkiwa level seat corona haiwapati?
Tatizo tunashindwa kujifunza toka kwa mataifa yaliyoathirika kwani wao walitumia njia hizi?za level seat?nimeona juzi italy basi zima wamo watu saba tu!
Kwa hali za maisha yetu afrika hatuwezi pambana na hii kitu ndio maana mungu katuepusha imebaki kutiana hofu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza hvyo ,ni swala na kuuliza kwa hiyo msipopeana mikono Corona haiwapati (huku ukiwa umebana pua)?
 
Wangezuia tu ndege kuingia nchini jamani maana uwezo wetu wa kupambana na huu ugonjwa somehow ni mdogo na hata katika mipaka yetu tuzuie jamani.... sasa kama watu wamefika sita tutategemea nini... hata kama tuna mahusiano mazuri kiasi gani ila afya kwanza ... daaaah
Wanasema tuoshe mikono kwa maji yanayotiririka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
March 18, 2020
Published on Journal Science : The effect of travel ban in combating coronavirus vs Identification and isolation explained in detail :

What China’s coronavirus response can teach the rest of the world
In mid-January, Chinese authorities introduced unprecedented measures to contain the virus, stopping movement in and out of Wuhan, the centre of the epidemic, and 15 other cities in Hubei province — home to more than 60 million people. Flights and trains were suspended, and roads were blocked.

Soon after, people in many Chinese cities were told to stay home and venture out only to get food or medical help. Some 760 million people, roughly half the country’s population, were confined to their homes, according to the New York Times.

It’s now two months since the lockdowns began — some of which are still in place — and the number of new cases there is around a couple dozen per day, down from thousands per day at the peak. “These extreme limitations on population movement have been quite successful,” says Michael Osterholm, an infectious-disease scientist at the University of Minnesota in Minneapolis.

In a report released late last month, the World Health Organization congratulated China on a “unique and unprecedented public health response [that] reversed the escalating cases”.

But the crucial question is which interventions in China were the most important in driving down the spread of the virus, says Gabriel Leung, an infectious-disease researcher at the University of Hong Kong. “The countries now facing their first wave [of infections] need to know this,” he says.

Nature talked to epidemiologists about whether the lockdowns really worked, if encouraging people to avoid large gatherings would have been enough, and what other countries can learn from China’s experience.

What happened after the lockdowns?
Before the interventions, scientists estimated that each infected person passed on the coronavirus to more than two others, giving it the potential to spread rapidly. Early models of the disease’s spread, which did not factor in containment efforts, suggested that the virus, called SARS-CoV2, would infect 40% of China’s population — some 500 million people.

But between 16 and 30 January, a period that included the first 7 days of the lockdown, the number of people each infected individual gave the virus to dropped to 1.05, estimates Adam Kucharski, who models infectious-disease spread at the London School of Hygiene and Tropical Medicine. “That was amazing,” he says.

The number of new daily infections in China seems to have peaked on 25 January — just 2 days after Wuhan was locked down.

Why does the coronavirus spread so easily between people?

As of 16 March, roughly 81,000 cases have been reported in China, according to WHO. Some scientists think that many cases there were unreported — either because symptoms were not severe enough for people to seek medical care, or because tests were not carried out. But it seems clear that measures implemented during this time did work, says Christopher Dye, an epidemiologist at the University of Oxford, UK. “Even if there were 20 or 40 times more cases, which seems unlikely, the control measures worked,” says Dye.

Could China’s response have worked better?
Epidemiologists say China’s mammoth response had one glaring flaw: it started too late. In the initial weeks of the outbreak in December and January, Wuhan authorities were slow to report cases of the mysterious infection, which delayed measures to contain it, says Howard Markel, a public-health researcher at the University of Michigan in Ann Arbor. “The delay of China to act is probably responsible for this world event,” says Markel.

A model simulation1 by Lai Shengjie and Andrew Tatem, emerging-disease researchers at the University of Southampton, UK, shows that if China had implemented its control measures a week earlier, it could have prevented 67% of all cases there. Implementing the measures 3 weeks earlier, from the beginning of January, would have cut the number of infections to 5% of the total.

Read more : - What China’s coronavirus response can teach the rest of the world
- Preventing Spread of Disease on Commercial Aircraft: Guidance for Cabin Crew | Quarantine | CDC
 
Back
Top Bottom