Waziri Kassim Majaliwa:Serikali yaamua darasa la 1&2 kusoma masomo 3 tuu

Waziri Kassim Majaliwa:Serikali yaamua darasa la 1&2 kusoma masomo 3 tuu

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Hii serikali ya ajabu sana,kila siku inakuja na mambo ya ajabu katika elimu!tujiulize hapo zamani ilikua 3,jee nani aliyeleta masomo 6?alikua na sababu zipi obvious itakua ni utawazi,sasa kwa kushindwa kuajiri waalimu mnaamua kupunguza masomo,jee kazi ya madarasa ya awali ni ipi?
 
Wapunguze madarasa badala ya miaka saba, itumike miaka mitano tu baada ya hapo mwanafunzi form one, huku o level na A level kubaki kama kulivyo. Miaka ya Primary school inawapotezea muda wanafunzi
 
Wapunguze madarasa badala ya miaka saba, itumike miaka mitano tu baada ya hapo mwanafunzi form one, huku o level na A level kubaki kama kulivyo. Miaka ya Primary school inawapotezea muda wanafunzi
Great thinker at work! How old are you, Sir?
 
Waliongeza masomo baada ya kuamini ya kwamba watoto hujifunza kusoma na kuandika wakiwa chekechea. Kwa bahati mbaya, kama ilivyo katika kila aina ya uwekezaji, matokeo huja baada ya miaka kadhaa. Kwa elimu ya Msingi, tumegundua kwamba serikali imebugi baada ya zaidi ya miaka saba. Kwa kuwa hatuna sera wala mtaala unaoeleweka, haya mabadiliko ya kukurupuka yataidgharimi taifa miaka na miaka.
 
kuna haja ya home schooling.hawa wendawazimu wa serikali ya magamba wanazidi pandisha hang'over wanavyozidi haribu mambo.Mpaka tuamke na kupata fahamu kuwa ccm ni kutu na si rangi tutakuwa na tetanus.
 
Back
Top Bottom