Waziri Katambi ayaita makampuni ya simu Wizarani ili kujadili kuhusu utapeli unaoendelea mtandaoni

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu ikiwemo ule utapeli wa simu wanazopokea hata baadhi ya wazazi akiambiwa mtoto wako anaumwa na aina kama hiyo ya utapeli.

Waziri Katambi ametoa wito kwa makampuni hayo kufika wizarani jijini Dar es Salaam leo Septemba 4, 2026 muda wa Saa 7 Mchana.

Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu ikiwemo ule utapeli wa simu wanazopokea hata baadhi ya wazazi akiambiwa mtoto wako anaumwa na aina kama hiyo ya utapeli.Waziri Katambi ametoa wito kwa makampuni hayo kufika wizarani jijini Dar es Salaam leo Septemba 4, 2026 muda wa Saa 7 Mchana.
 
Vizuri sana, ila mbona kama jambo hili siyo lake. Ashaiingiza siasa hapo
 
well done ndugu waziri.

unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa ustawi wa taifa letu.
Keep it up gentleman 💪🤝
 
Hajui jd yake huyu
 
Ukitapeliwa ni uzembe wa mtu binafsi hakuna namna kampuni zinaweza kuzuia nisisi watumiaji wenyewe kuacha uzembe kujitambua na kuacha tamaa. Kuna tofauti ya kutapeliwa na kuibiwa
 
Hapana, aseme wazi kuwa wanataka wawe wana wakamata wakosoaji na wapingaji kupitia mitandao ya simu husika.
Hakuna utapeli wala nini, Wandewa na Waja Tusanuke, huu ni MTEGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…