nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa

shule ya msingi sofu,ipo kijiji cha sofu wilaya ya kisarawe,nilibahatika kuitembelea mwaka jana
anamaanisha hata yeye amepita kwa wizi wa mitihaninimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
nahis tangu tupate uhuru wizara ya elim haijawah kupata waziri zaid ya kighoma malimanimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
SUBIRI BUNGE LIKIANZA UTAYASKIA MENGI ME NIMEMVULIA :yo:Kawambwa hiyo nafasi aliyonayo inampwaya sana, kwahiyo kumbe ufahulu ukiwa juu ni kutokana na wizi wa mitihani.
Peleka hoja binafsi bungeni, hawezi kutudhalilisha namna hii . watu tulipiga 1 na 11 za nguvu halafu anadai tuliiba mitihani? She.........Z taipu.nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
mimi sijafanya utafiti lakini najipa rights to speak.Nilitaka kuchangia...ngoja nifanye utafiti kwanza.