Wizzo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 723
- 256
nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
