waziri kawambwa tutake radhi watanzania

waziri kawambwa tutake radhi watanzania

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
 
tunaomba cv ya kawambwa huenda sio mzima
 
Kawambwa hiyo nafasi aliyonayo inampwaya sana, kwahiyo kumbe ufahulu ukiwa juu ni kutokana na wizi wa mitihani.
 
Kwa mtazamo wangu nadhani waziri yuko sahihi kabisa japo hakumaanisha wote waliofaulu waliiba mitihani. Lakini kiukweli shule nyingi za Private walizoea kuiba mitihani na ndio maana zilikuwa zinaongoza kufaulisha. Wizi wa mitihani ulichangia sana matokeo mazuri kwa wanafunzi wengi hasa wa mijini. Sasa mianya imezibwa watasaga meno...No business....

nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
 
shule ya msingi sofu,ipo kijiji cha sofu wilaya ya kisarawe,nilibahatika kuitembelea mwaka jana
Shule ya msingi SOFU.jpg
 
nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
anamaanisha hata yeye amepita kwa wizi wa mitihani
 
nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
nahis tangu tupate uhuru wizara ya elim haijawah kupata waziri zaid ya kighoma malima
 
nimemsikia waziri wa elimu kawambwa anadai kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne ni kwa sababu ameziba mianya ya wizi wa mitihani..hivi kawambwa ni mzima wewe kweli? Kwa hiyo unataka kusema sisi wote tulifaulu before haikua halali bali tuliiba mitian? Tafadhar tuombe radhi watanzania wote kwa matusi uliotutukana.unamaanisha hat wewe ufaulu wako si wa halali? Kama wewe uliiba mtihani ndo ukafaul tafadhali usigeneralize kuwa wote wezi.
Naanza kupata wasiwasi kma kwei elimu yako iko sawa
Peleka hoja binafsi bungeni, hawezi kutudhalilisha namna hii . watu tulipiga 1 na 11 za nguvu halafu anadai tuliiba mitihani? She.........Z taipu.
 
Nilitaka kuchangia...ngoja nifanye utafiti kwanza.
mimi sijafanya utafiti lakini najipa rights to speak.
Huenda labda wanamtatuta Mh. Mnyika baada ya A's zake za o'level kuwatesa sasa waje na hoja kuwa sio genious bali aliiba mitihani
 
Back
Top Bottom